TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita.
TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini.
Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
Kwenu shirika la nyumba la taifa sasa ni wakati wa kwenda na wakati vijumba vyenu pale katikati ya jiji la Mwamza jamani vinatia aibu Dunia ya leo vinaonekana kama vibanda tu.
Ni muda Sasa tulete wawekezaji hivyo vibanda tuvipige nyundo yasimamishwe maghorofa kama ya NSSF jiji lipendeze yangu...
Salam
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa wakisumbuka kwa muda mrefu sasa juu ya kero ya usafiri wa hii barabara.
Kiuhalisia urefu wa barabara...
kwenye familia / ndudu zako wa karibu kukiwa na watu waliofanikiwa kwa kufanya biashara inakuwa rahisi kwa wengine kuingia kwenye biashara tofauti na wale wasio na familia au ndugu walifanikiwa kibiashara, sisemi kuwa Huwezi kufanikiwa kabisa bila kuwa na historia ya biashara kwenye familia...
UKISHAOA AU KUOLEWA UKWENI PANAKUWA KWENU,
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kwenu(ulipozaliwa) sio kwako. Weka Akilini. Kwako patageuka "kwenu" ya watoto wako.
Ukiwa kijana ambaye hujaoa na unaishi kwenye na unaakili unatambua kabisa hapo unapoishi kwa wazazi wako sio Kwako bali ni kwenu na...
Wasalaamu
Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu.
Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani kweli?
Mimi ninachokijua haya yangebandikwa Mwanza au miji mingine yasingemaliza masaa sita...
Nimezaliwa katika mtaa ambao kwa sasa naweza ita ni uswahilini, pamoja na wengi kuondoka na kujichanganya kwingine, mimi narudi home karibu kila wiki kwa sababu home zipo biashara zinazonipeleka, pamoja na wengine kuhama bado wapo wenyeji wengi sana wanaoshi hapo mtaani kwetu...
Wanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
Katika harakati za ujana nimevusha round mbili nakuvushwa round moja.
1: Siku ya kwanza na vusha mother alikua kasepa kikazi na dingi akaona acha akazurure zake kijijini kumdekea mama yake, msela nimeachwa zangu home kama sungu sungu nalala gheto la nje machalii ndani.
Zoezi lilikua hivi...
Kwema Wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?
Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda.
Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
Alietairiwa na asie tairiwa/aliekeketwa na asie keketwa yupi ananogesha ?
haya wapita njia mbalimbali tupeni elimu ili wakati wa ndoa tujuwe wa kuchagua.
Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa?
Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake.
Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE.
Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
GENTAMYCINE nilikuwa naambiwa hakuna Madereva Waliodata na Wasioogopa lolote, Wathubutu na Majasiri kama wa Masafa Marefu ( Malori ) ila kwa nilichokishuhudia Mubashara leo Ubungo SIMU 2000 nimekubali na Kuwanyooshea mikono.
Ilikuwa ni mida ya Saa 7 Mchana ambapo Askari wa Ubungo SIMU 2000...
Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??
Semeni tu ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.