kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Jana na leo kuna raha sana sijui kwenu huko

    juzi ilikuwa birthday yangu sikuwa na hela yoyote sikwenda beach wala photoshoot.kazi ikaanza jana hela sijui zimetokea wapi kile kimya kikaondoka jana watu nikashuhudia watu wakilewa na kufanya ngono.. Makundi niliyoona wamefurahi sana jana ni wakina mama sijui wamevunja vicoba pamoja na watu...
  2. Informer

    Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  3. PAZIA 3

    Hongera kwenu TFF kwa kutuletea electronic substitution board, Sasa leteni na poda

    Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira ulipotengwa,(referees vanishing spray) Rwanda wao walianza kitambo tu, nasisi tununue poda.
  4. R

    Mvua kwenu huko ikoje?

    Tangu saa 5 usiku mpaka sasa ni mvua! Taarifa toka tanga wa mwandishi wangu Ukipanda , jua hilo. Wataalamu wa kilimo mnasemaje/mnatushauri nini
  5. Faana

    Kwenu watambuzi kibao hiki kipo wapi

  6. GENTAMYCINE

    Wenye Akili tunajua kuwa Ziara yenu Maalum kwenda Ikwiriri ni ya nini, ila tunasisitiza Kwenu kuwa Msimu huu Ubaya Ubwela tu

    Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani mlikoelekezwa na yule Mzee wenu Muhuni aliyempiga Mkwara Rais wenu wala hana Maajabu. Tumejipanga.
  7. Natafuta Ajira

    Kwenu wadogo zangu wa kiume ambao hamjafika third floor(miaka 30)

    Kwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe. Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake. Nataka...
  8. Cassnzoba

    Swali kwenu wakuu

    wakuu Za jioni.......... Leo nimefikiria nimeona niwaulize na nyie, hivi kile tunachokionaga kinapaa angani Huku kinatoa moshi nyuma ni ndege au roketi??? Niko apa kuwasikiliza, Nawasilisha.
  9. Kinjekitile Jr

    KWENU CHADEMA; Yule Mwenyekiti wa Wafanyabiashara pale SIMU2000 anafaa kuwa M/KITI badala ya Pambalu

    Wakuu kwema!??? Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko. Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea) nimepitia background yake jamaa ana profile kubwa kidogo sio kitoto ,yeye ndie master mind wa ule mgomo...
  10. GENTAMYCINE

    Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  11. Hakuna anayejali

    Kwenu JWTZ mbona sasa inakuwa hivi?

    Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?
  12. N'yadikwa

    TANROADS Morogoro hii ni aibu kwenu kushindwa hili.

    PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati. Mikumi mjini kilimani
  13. J C

    Tunaomba sehemu ya USB kwa visimbuzi vya Azam isiwe ya kulipia

    Mimi ni mteja wa king'amuzi chenu kabla ya kukinunua niliona kina USB port na kufuatilia nikakuta unaweza weka flash uka play movie au audio. Kwa Mimi mwenye tv ya kizamani isiyoweza play flash HD nikaona king'amuzi chenu kitanifaa kumbe flash unafanya kazi ukilipia kifurushi kikiisha flash...
  14. Hakuna anayejali

    Ninaswali kwenu wanajamvi tusaidiane hapa.

    Nimevumilia tunavyonangwa wanaume sasa unyonge basi..Mwanaume akimwaga mbegu ndani ya dakika2 mnasemavanatatizo,je mwanaume unayemsuguwa ndani nje mara10tu ameshakojowa ndani ya dakika2 na anasema amechoka tusemeje?
  15. Bila bila

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt. Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na...
  16. Hakuna anayejali

    Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
  17. T

    Maandiko yameweka wazi Mungu ni mwenye huruma lakini ikifika muda wa hukumu hatumii huruma bali sheria

    Ni kweli kwamba maandiko yameweka wazi kwamba Mungu ni mwenye huruma lakini ikifika mahali anafanya hukumu (Maamuzi) katika kujibu maombi ya waja wake, Huruma haitumiki bali SHERIA yake ndio hutumika kama msingi wa HUKUMU zake. Ombi langu: Tuondoe dhana potofu kwamba Mungu atakuonea huruma...
  18. M

    Wakati unakua, nini kwenu mlikuwa mnatoaga nje asubuhi na kukirudisha ndani jioni muda wa kufunga mlango kabla ya kulala?

    Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu. Basi...
  19. Ibrahim hamadi

    Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  20. TUKANA UONE

    Kwenu Mashabiki wa Simba na Yanga wenye Viherehere

    Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao! Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
Back
Top Bottom