kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    sikukuu ya wafanyakazi ujumbe kwenu

    Hapa kuna ujumbe kuhusu wafanyakazi wote mda mwengine uzembe na mazoea umebebeka sana kwenu. Hii ni picha ya mfano mfanyakazi .
  2. MINING GEOLOGY IT

    Ushauri na mchango wa kimawazo kwa TANROADS

    Ushauri na michango ya kimawazo kwa TANROADS kuhusu kuomba kuingiza elimu ya jiolojia na uhandisi wa ujenzi kama sehemu inayojitegemea kabla ya kuanza ujenzi wa miundombinu kama madaraja, mitaro, na barabara ni njia ya kuboresha mchakato wa ujenzi na kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza...
  3. Trainee

    Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
  4. Cute Wife

    Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

    Wakuu, Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
  5. E

    Tupo kujifunza kwenu

    Walaamu, Wakuu, tunazidiana kwa kila namna Tupia wazo lolote ambalo laiti mtu akiligundua kuanzia kiuchumi,kimwili kiroho.....n.k ataacha kulalamika kwa namna yoyote Toeni ya moyoni, japo msitegemee kueleweka kwa wote Nawasilisha!
  6. Natafuta Ajira

    Kwenu watetezi wa ndoa

    Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa ndoa ni mashoga, hawana hela, wamelelewa na single parent, wana trauma n.k lakini kwenye point huwa...
  7. I am Groot

    Swali kwenu wanawake na wasichana. Hivi na nyie huwa mnapata WET DREAMS kama ilivyo kwa wanaume?

    Swali la mada hii linajieleza. Naamini kila mtu anauelewa na wet dreams (ndoto nyevu) ni nini. Uzi tayari.
  8. BabaMorgan

    Wadogo zangu wa kike hata kama nyumbani kwenu maisha ni magumu usikubali ndoa ya sogea tukae

    Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende. Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye...
  9. L

    Mashabiki wa Yanga sio watu wa mpira, mmeambiwa mnaingia bure na bado mnaendelea kuhamasishwa kwenda uwanjani kuona gemu bure, haya ni maajabu makubwa

    Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio wataokwenda kuangalia bure kwenye gemu ya Yanga, kwa hiyo kimahesabu gemu ya Yanga itajaza sana mashabiki...
  10. Mgosi Mbena

    Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

    Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini. Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka...
  11. L

    Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

    Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo. Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
  12. Nyamesocho

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  13. K

    PSSSF ziko wapi Billion 14 za Rais Samia alizolipa kwenu kwa ajili ya Wastaafu wa ATCL

    Raisi Samia Suluhu Hassan alilipa billion 14 za mapunjo ya madai ya kustaafu waliokuwa wafanyakazi wa Air Tanzania Company Limited tarehe 27/12/2023 kwenye mfuko wa PSSSF. Hadi muda huu ni asilimia thelathini tu ya Wastaafu ndio wamelipwa wengine wanapigwa dana dana hawalipi. Hawa ni pamoja...
  14. B

    Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

    Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani. Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu...
  15. P

    Waafrika acheni kudandia watu, tengenezeni vya kwenu ili waone fahari kuwa sehemu ya Afrika

    Huyu dogo ameteka mioyo ya watu wengi baada ya kuonesha kiwango kizuri cha kusakata soka. Kama ilivyo kawaida ya Waafrika, Wazimbabwe tayari wameanza kelele nyingi na kumkaribisha team ya taifa na tayari wameshampa uraia 😂😂😂. Mitandaoni huko dogo anatukanwa sana baada ya kusema ukweli kuwa...
  16. K

    Zanzibar Business and Property Registration Agency( BPRA) nahitaji majibu kutoka kwenu

    Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA. Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Kijana kama kwenu maisha magumu ukimaliza kidato cha nne nenda VETA, achana na kidato cha 5

    Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea. Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6). Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss Utakuwa hero aliyetoka mavumbini. Msije kusema sijawaambia.
  18. ndege JOHN

    Unapoishi sasa mpaka nyumbani kwenu ni kilometer ngapi?

    Ukiishi mbali na nyumbani lazima utafikiria ni vipi utasolve ishu ya nauli endapo ikitokea dharura mfano msiba unaokutaka usafiri instantly kwa maana Akiba kuweka zimetushinda na huwez kuwa na hela siku zote wewe sio bank. Kwa waliozaliwa Dar na kwao Dar na wanaishi Dar kwao umbali sio...
  19. Intelligent businessman

    Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

    Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha. Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano 👉I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na...
  20. M

    Nyumbani kwenu kuna kitu kilichokuzidi umri au kimeendana umri na wewe!?

    Habari za mwaka mpya 2024 wapendwa katika Bwana, natumaini wooooote wazima, mwenye changamoto yoyote basi MWENYEZI MUNGU ASAIDIE Unajua katika majumba yetu tulikozaliwa kuna vitu utavikuta iwe tv, nguo, kabati, meza chochote kile cha zamani kimetunzwa kweli, na bado kinatumika, ukiulizia hiko...
Back
Top Bottom