kyela

Kyela is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Rungwe District, to the northeast by Njombe Region, to the southeast by Lake Nyasa, to the south by Malawi and to the west by Ileje District.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the Kyela District was 221,490.The District Commissioner of the Kyela District is Claudia Undalusyege Kitta.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Dkt. Tulia kuijengea nyumba familia yenye uhitaji Kyela, atoa msaada wa chakula na mavazi

    Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson yapeleka Tabasamu kwa Familia ya Obed Ambonisye Mwalopale. Nyumba ya Familia ya Obed...
  2. Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  3. Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

    unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo...
  4. Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!

    Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!! Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!! Ama nilizingua? BRAZA CHOGO Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
  5. KERO Tabia ya Gari za Abiria Barabara ya Mbeya - Kyela (Kilometa 120+) kubeba Abiria kuliko uwezo ni hatari kwa usalama

    Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake. Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
  6. KERO Inamaana haya mashimo ya kwenye Barabara ya Kyela (Mbeya) mmegoma kuyafukia au mmeamua tu kuyapotezea?

    Hivi ni TANROADS inamaana haya mashimo kwenye hii Barabara ya Kyela kuelekea Junction hamuyaoni au ni ujeuri tu? Hii Barabara imekuwa kero kubwa sana kwa sisi watumiaji maana ina mashimo Hadi basi, kila siku magari yana pasua vioo pamoja na kuvunja vipuri. Kibaya zaidi naye Mbunge wetu...
  7. LGE2024 Video Kyela: Mgombea CHADEMA amtumia mtoto wake mdogo kuomba kura. Je, kaona maji ya shingo?

    Moja ya mgombea Kyela Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHEDEMA amemuomba mtoto wake amsaidie kuomba kura kwa wananchi wakati wa kampeni.
  8. LGE2024 Freeman Mbowe afanya Mkutano Kata ya Kyela, Mbeya baada ya kutoka Korokoroni

    Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
  9. Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

    KYELA. Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...
  10. Twaha Mwaipaya azidi kuikomboa Kyela, Apiga mikutano 18 Non Stop, Wazee wamkubali

    Miongoni mwa vijana wachache majasiri, ambao Tanzania imebahatika kuwa nao, ni huyu Mwaipaya, Huyu alimpiga Spana Jiwe hadi Jiwe akamtumia Watekaji, Jiwe alikuwa muoga sana! Kijana mdogo kama huyu unamtumia Watekaji badala ya kujibu hoja! Noma kweli yaani! Hapa akifundisha siasa Keifo FM...
  11. Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

    Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga juju hao balaa, unaweza jikuta unamtumikia.
  12. Pre GE2025 Je, haya ya huyu Diwani wa Kyela 2020 yanaweza kumkuta "mama" 2025?

    Alikuwepo diwani maarufu kwa jina la Kanyanyila aliyeingia madarakani mwaka 2015 kuongoza kata yake ya Lusungo. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kushikilia madaraka makubwa ya kisiasa namna hiyo hapo Lusungo na ukanda wa Ndamba kwa ujumla. Utawala wake ulikuwa wenye kuudhi watu...
  13. Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

    Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari. Bali mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni. Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari, Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei...
  14. Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Je lini Kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku? Naomba kuwasilisha
  15. Kyela Ibasa Festival yatoa msaada wa mafuta na miwani kwa wenye Ualbino

    Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
  16. Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi watoa msaada wa vitabu 100 kwa Wanafunzi Kyela

    Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
  17. K

    Wafungwa wa Gereza la Kyela washerekea Sikukuu kwa kupewa msaada na Wadau

    Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao. Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
  18. Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  19. N

    Nafasi ya kazi ya Meneja Chama Kikuu cha Ushirika Kyela (KYECU)

    Ndugu wapambanaji wenzangu, hii hapa fursa ya ajira, hii nafasi ni nzuri sana kwa muhitaji wa ajira. changamkia.
  20. Sikiliza piano kali sana kutoka Ipinda, Kyela

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…