Kyela is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Rungwe District, to the northeast by Njombe Region, to the southeast by Lake Nyasa, to the south by Malawi and to the west by Ileje District.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the Kyela District was 221,490.The District Commissioner of the Kyela District is Claudia Undalusyege Kitta.
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa.
Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi.
Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .
Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar
Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
Ikiwa ni siku 3 kupita tangu waziri mwenye dhamana kuwahadaa wananchi kuwa Tanzania kunamafuta ya kutosheleza.
Ikiwa ni siku 2 kabla ya mwenge wa uhuru kumulika wilaya ya kyela.
Naomba kutoa taarifa juu ya kinachoendelea kyela
1. Zaidi ya wiki mbili sasa mji wa kyela hauna umeme.
2. Ni siku...
Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023
Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya.
Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku sasa hivi ni buku mbili hadi shilingi 2,500.
Kwani kuna nini kinachoendelea wakati kila siku Waziri...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti.
Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya.
Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.
Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA
Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana na ushiriki wangu katika kilimo hadi mauzo, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukwanza kama wana...
Richard Temu, ni mfanyabiashara mlanguzi wa kakao katika Wilaya ya Kyela, ambaye hulangua kwa bei ya chini toka kwa Wakulima na kuziuza kwa mfumo uliowekwa na Serikali wa Stakabadhi ghalani. Akishazipeleka pia hutumiwa na kampuni za wahindi kupeleka bid yao katika mnada ili waweze kununua na...
Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde .
Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa...
Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani huko, kule upande wa pili ukipita Njisi (boda ya sasa), Isaki, Kabanga hadi Katumbasongwe.
Huu ndio...
Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote .
Halmashauri ya Wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.