Picha ikimuonesha mshindi Peter Nyamayo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol, Amsterdam nchini Uholanzi.
Pamoja naye yupo Rajab Chingongo ambaye pia ni mshindi wa shindano la AzamLiga lililowapa nafasi ya kushiriki La Liga Experience kutazama mchezo kati ya Villarreal dhidi...
Naombeni majibu yenu wakuu,
Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa
Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga
kwakua JamiiForums ni kisima Cha maarifa nikaona nilete huu mzozo umu Ili mnifafanulie
Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico.
Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu,
Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto.
Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida.
Nini kitatokea? Nani atafungwa?
Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024.
Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025
Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B.
Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F...
Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'.
Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania.
Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili.
Ni wakati muafaka wa...
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam.
Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
Habari wakuu, wapenda soka, hususan li kule kwa kina Berlin (Andrés de Fonollosa).
Moto unaendelea kuwaka huko Spain. Mminyano wa hali ya juu kati ya timu nne za juu, Atletico Madrid, Real Madrid, Barcelona na Sevilla.
Wakati mashabiki wa Barca, wakitegemea kuwa kileleni kwa mara ya kwanza...
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye...
Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
FC Barcelona imethibitisha kumuajiri kocha wa zamani wa klabu za Real Betis pamoja na Racing Santander, Quique Setién kuchukua nafasi ya Ernesto Varverde aliyevunja mkataba na klabu hiyo.
Setien amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu ili kuifundisha FC Barcelona.
====
OFFICIAL: Barcelona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.