la liga

The Campeonato Nacional de Liga de Primera División, commonly known as La Liga (La Liga Santander) for sponsorship reasons with Santander), is the men's top professional football division of the Spanish football league system. Administered by the Liga Nacional de Fútbol Profesional (English: National Professional Football League), also known as the Liga de Fútbol Profesional (LFP), La Liga is contested by 20 teams, with the three lowest-placed teams at the end of each season relegated to the Segunda División and replaced by the top three teams in that division.
A total of 62 teams have competed in La Liga since its inception. Nine teams have been crowned champions, with Real Madrid winning the title a record 33 times and Barcelona 26 times. Barcelona won the inaugural La Liga in 1929 with Athletic Bilbao claiming several titles in the league's early years. During the 1940s, Valencia, Atletico Madrid and Barcelona emerged as the strongest clubs winning several titles. Real Madrid and Barcelona dominated the championship in the 1950s, winning four La Liga titles each throughout the decade. During the 1960s-1970s Real Madrid dominated La Liga winning 14 titles, with Atletico Madrid winning four. From the 1980s-1990s, Real Madrid were prominent in La Liga, but the Basque clubs of Athletic Bilbao and Real Sociedad had their share of success, winning two Liga titles each. From the 1990s onward, Barcelona have dominated La Liga winning 16 titles up to date. Although Real Madrid have been prominent, winning 8 titles, La Liga has also seen other champions, including Atlético Madrid, Valencia, and Deportivo de La Coruña.
According to UEFA's league coefficient, La Liga has been the top league in Europe over the last five years and has led Europe for more years (22) than any other country. It has also produced the continent's top-rated club more times (22) than any other league, more than double that of second-placed Serie A. Its clubs have won the most UEFA Champions League (18), UEFA Europa League (11), UEFA Super Cup (15), and FIFA Club World Cup (7) titles, and its players have accumulated the highest number of Ballon d'Or awards (23), The Best FIFA Men's Player including FIFA World Player of the Year (19) and UEFA Men's Player of the Year including UEFA Club Footballer of the Year (11).
La Liga is one of the most popular professional sports leagues in the world, with an average attendance of 26,933 for league matches in the 2018–19 season. This is the sixth-highest of any domestic professional sports league in the world and the third-highest of any professional association football league in the world, behind the Bundesliga and the Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. LA LIGA EXPERIENCE kuwapeleka watanzania Uhispania

    Picha ikimuonesha mshindi Peter Nyamayo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol, Amsterdam nchini Uholanzi. Pamoja naye yupo Rajab Chingongo ambaye pia ni mshindi wa shindano la AzamLiga lililowapa nafasi ya kushiriki La Liga Experience kutazama mchezo kati ya Villarreal dhidi...
  2. Kati ya Serie A na la Liga ipi ligi Bora

    Naombeni majibu yenu wakuu, Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga kwakua JamiiForums ni kisima Cha maarifa nikaona nilete huu mzozo umu Ili mnifafanulie
  3. Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

    Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida. Nini kitatokea? Nani atafungwa? Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
  4. Aisee Barcelona msimi huu hawataki mchezo azidi kutembeza vipigo

    Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
  5. L

    Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

    Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
  6. Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

    Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A) Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024. Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
  7. Azam TV yarudisha tena La Liga kuanzia msimu ujao

    Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
  8. Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

    Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B. Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F...
  9. Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

    Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'. Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
  10. Uwezekano wa Barcelona kufungiwa kushiriki Kombe la Mabigwa Ulaya (UEFA)

    Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania. Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
  11. Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

    Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili. Ni wakati muafaka wa...
  12. N

    Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
  13. Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  14. Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  15. La liga tittle race

    Mbio za ubingwa la liga zinaendelea kila team imebakiza match moja
  16. Nani kuchukua ndoo ya La Liga 2021?

    Habari wakuu, wapenda soka, hususan li kule kwa kina Berlin (Andrés de Fonollosa). Moto unaendelea kuwaka huko Spain. Mminyano wa hali ya juu kati ya timu nne za juu, Atletico Madrid, Real Madrid, Barcelona na Sevilla. Wakati mashabiki wa Barca, wakitegemea kuwa kileleni kwa mara ya kwanza...
  17. Kama ulikuwa huijui Yanga SC ya GSM, La Liga, Sevilla na Mshindo Msolla basi ni hii

    1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa. 2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club. 3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye...
  18. Chonde Chonde Serikali tupieni upesi ' Jicho lake Kali ' katika huu ' Usanii ' wa uwekezaji wa GSM, Sevilla na la Liga kwa Klabu ya Yanga

    Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
  19. Quique Setién: Kocha mpya wa FC Barcelona. Ernesto Valverde Out!

    FC Barcelona imethibitisha kumuajiri kocha wa zamani wa klabu za Real Betis pamoja na Racing Santander, Quique Setién kuchukua nafasi ya Ernesto Varverde aliyevunja mkataba na klabu hiyo. Setien amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu ili kuifundisha FC Barcelona. ==== OFFICIAL: Barcelona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…