Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito.
Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi.
Viongozi wa timu...
Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua
Laana ni Nini
Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa makusudi ya kumdhuru mtu huyo au kitu kinachomuhusu. Kwa mfano, kazi, shamba, watoto, masomo n.k. Laana...
Kuna kampuni zingine unaweza kudhani zina laana.
Unakuta hakuna waajiriwa waliopiga hatua, wapo wenye hali zinazozidi kuwa mbaya, wenye nafuu wapo pale pale walipoanzia.
Yani unakuta kila alieajiriwa kawa kama mtumwa, shida hazikauki, nuksi kama zote, kufupista story sahau kuhusu maendeleo...
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna
1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani.
Neno laana liko kwa namna mbili, kibiblia.
Aina ya kwanza, ni kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la mwanadamu tangu mwanzo.
Aina ya pili, ni apizo alitoalo mwanadamu kwa mwenzake, au alitoalo Mungu...
Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada...
Behemoth ni kiumbe wa KIROHO mwenye sifa ya ulafi na anakula kila kitu pasipo kukoma. Anakula watoto wakiwa tumboni, unashangaa mimba zinatoka bila ya sababu yoyote, unazaa watoto wanakufa vifo vya mapema (pre mature death) etc.
Kwenye maandiko ya Biblia, kitabu kitakatifu cha Wakristo...
Katika nchi ambayo inachekesha na kuumiza ni DRC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) ina rasilimali nyingi za asili, ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na pia kwa dunia. Baadhi ya rasilimali muhimu ni:
1. Madini:
Cobalt: RDC ni mtayarishaji mkuu wa cobalt duniani, ambao ni muhimu kwa...
Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite...
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo
Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.
Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi...
Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa.
Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
LAANA LAANA LAANA
Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA
LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo...
Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho.
CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k.
Tutaje zile ambazo ni halali.
Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?
Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa ninachojiuliza hizo laana na nuksi wanazipataje? Kwanini wasipewe watu wengine ila ni wao? Na utajuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.