laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwa yanayoendelea AFCON nchini Cameroon, Waafrika tuna laana gani?

    Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k) Ubora duni wa waamuzi Pira bovu linaloonyweshwa na timu zetu (achana na ngozi nyeupe i.e waarabu) tena wachezaji zaidi ya 90% wanacheza...
  2. K

    Naangamia naombeni msaada kukwepa hii laana

    Naandika kwa uchungu sana.. Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza atakua ni wakike na kweli kawa wa kike kama nilivyo nena.. Kilichotokea ni hivi mahusiano yetu...
  3. chiembe

    Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  4. I wish i have

    Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

    Kampuni ya Punch company limited Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:- ...... Mchawi sana/Freemason...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

    Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
  6. mocker

    Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

    Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1886756/ Apambo kwa kifupi ni kwamba sikua na mahusiano kwa...
  7. M

    Mnyika na CHADEMA yako msipousikiliza Ushauri wa Nyerere's Think Tank Mzee Butiku hamtofanikiwa tena na Mabalaa Kuwaandama

    Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
  8. Fundi Madirisha

    Kila aliyehusika na kupotea kwa Ben Saanane na Azori Gwanda laana imtafune yeye na kizazi chake

    Hili wala hatutaki kukificha kwa sababu kila siku tukiwakumbuka ndugu zetu hawa tunabubujikwa machozi yaliyojaa maumivu makali na huenda hata damu hutokea kwenye machozi haya. Tunajua waliohusika na kuwapoteza hawa watu ni wanadamu na wala si wanyama, Laana ya mwenyezi Mungu iwatafune milele na...
  9. O

    CCM kilitukomboa, kukisaliti ni laana

    Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi. CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa. Kama bado upo hai, na unakilaani hiki...
  10. Shujaa Mwendazake

    Nape Nnauye uliweza kumuangukia Hayati Magufuli; ni wakati wa kumuangukia Mungu na Mzee Lowassa kwa laana hii

    Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai wa Rais atakayekuwa madarakani. Sihitaji kujua kama Msajili wa vyama vya siasa alikuwapo ama lah...
  11. S

    Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

    Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.
  12. GENTAMYCINE

    Kama aliyeharibu Uchaguzi Mkuu 2020 nae aliimiliki hii ' laana ' kwanini Wabunge aliowapitisha ' Kimabavu ' laana hii isiwaandame tu?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao cha bunge la bajeti, jijini Dodoma leo. Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi...
  13. Erythrocyte

    Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

    Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani! Zaidi soma: RC Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni
  14. J

    Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  15. F

    Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria. Huyu Sheikh alitabiri miaka ya nyuma Waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi...
  16. Nyankurungu2020

    Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake. Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi...
  17. Infantry Soldier

    Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  18. Kwisaro

    Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

    Mkoa wa Mara ni miongoni mwa mikoa ambayo imebahatika kutoa viongozi wengi katika Serikali zote za kuanzia muasisi wa taifa hili.Lakini ni kati ya mikoa ambayo maendeleo yake yako nyuma sana, ukifatilia kiundani ni kuwa hata viongozi ambao walipewa nyadhifa mbalimbali wao kwa wao hawaelewani...
Back
Top Bottom