laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je ni kweli mtu mweusi alipata laana badala ya kuchungulia utupu wa Baba yake ?

    Je ni kweli mtu mweusi alipata laana baada ya kuchungulia utupu wa Baba yake ? Ukweli ni upi maana duniani kote mtu mweusi anachapika hatari.
  2. Laana ya Juma Mgunda imemtafuna Ally Kamwe

    Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito. Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi. Viongozi wa timu...
  3. J

    Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua

    Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua Laana ni Nini Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa makusudi ya kumdhuru mtu huyo au kitu kinachomuhusu. Kwa mfano, kazi, shamba, watoto, masomo n.k. Laana...
  4. R

    Kuna kampuni zina laana, Hakuna mwajiriwa katoboa, Pesa haikai, matatizo kila kukicha

    Kuna kampuni zingine unaweza kudhani zina laana. Unakuta hakuna waajiriwa waliopiga hatua, wapo wenye hali zinazozidi kuwa mbaya, wenye nafuu wapo pale pale walipoanzia. Yani unakuta kila alieajiriwa kawa kama mtumwa, shida hazikauki, nuksi kama zote, kufupista story sahau kuhusu maendeleo...
  5. R

    Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  6. J

    Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani? Fuatana nami uifahamu tafsiri yake

    Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani. Neno laana liko kwa namna mbili, kibiblia. Aina ya kwanza, ni kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la mwanadamu tangu mwanzo. Aina ya pili, ni apizo alitoalo mwanadamu kwa mwenzake, au alitoalo Mungu...
  7. Dhambi alioifanya mzee 2002 karma naitumikia mimi leo

    Hi? Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada...
  8. Ijue Roho ya Behemoth/laana ya kupoteza kila kitu cha thamani maishani mwako

    Behemoth ni kiumbe wa KIROHO mwenye sifa ya ulafi na anakula kila kitu pasipo kukoma. Anakula watoto wakiwa tumboni, unashangaa mimba zinatoka bila ya sababu yoyote, unazaa watoto wanakufa vifo vya mapema (pre mature death) etc. Kwenye maandiko ya Biblia, kitabu kitakatifu cha Wakristo...
  9. DRC nchi iliyobarikiwa utajiri wa asili ikapewa laana ya viongozi

    Katika nchi ambayo inachekesha na kuumiza ni DRC Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) ina rasilimali nyingi za asili, ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na pia kwa dunia. Baadhi ya rasilimali muhimu ni: 1. Madini: Cobalt: RDC ni mtayarishaji mkuu wa cobalt duniani, ambao ni muhimu kwa...
  10. Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

    Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?. Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
  11. Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

    Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite...
  12. B

    Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

    Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume. Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
  13. Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

    Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
  14. D

    Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

    DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi... Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa. Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
  15. Hakuna kitu kinachoitwa laana

    LAANA LAANA LAANA Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo...
  16. CCM wanaishi kwa Uongo, Na hii ndo laana Kuu itakayoliandama hili Taifa milele CCM likiendelea kuwa chini ya CCM

    Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho. CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
  17. T

    Kazi zenye laana Tanzania

    Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k. Tutaje zile ambazo ni halali.
  18. CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  19. Hivi ni kwamba laana, kutamkiwa maneno mabaya huja baadae kumuathiri mtu

    Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu? Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
  20. Hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake wanakuachia nuksi na laana?

    Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa ninachojiuliza hizo laana na nuksi wanazipataje? Kwanini wasipewe watu wengine ila ni wao? Na utajuaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…