Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida.
Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama.
Hoja ya CAG ikachukua...
Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
Mimi Kwa maoni yangu namwona Mhe. Rais akitupeleka kuyafikia haya yafuatayo;
1. Taafa lenye maridhiano ambalo litatufanya sote tuwe ndugu
2. Anaelekea kutuachia Taifa lenye Katiba mpya itakayoratibu maendeleo na ustawi wetu kulingana na mahitaji ya sasa
3. Upo uwezekano mkubwa akatuachia Taifa...
Mifano iko mingi sana!
Marehemu Sankara wa Burkina Faso alipinduliwa na kuuwawa na aliekiwa Rafikie wa karibu na msiri wake Bless Compaore. Marehemu Patrce Emely Lumumba alipinduliwa na mtu wake wa karibu Joseph Kasavubu kwa ushirikiano wa wabelgiji na Mobutu Sese Seko.
Na mfano wa hivi...
Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho?
Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida?
Tafadhali GENTAMYCINE...
Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.
Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili...
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi akiwaoungia mkono maekfu kwa maelfu WanaDares salaam waliouja kumlaki,akiwa na Winnie Mandela na...
Habari yako mkuu
Naomba kueleweka kwanza mimi sio mganga wala mganguzi ila katika pitapita zangu kwenye social media nimepata kuona dawa mjarabu kwa wenye vifungo vya mizimu na majini binafsi imenisaidia
MASHARTI
Hutakiwi kuwaamini mchafu kiroho yaani ni kwamba hauitajiki kuwa mchafu kwa...
Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima tungekua maskini tu. Kinachosikitisha zaidi ni kuona common Men wakishabikia mambo ya kikatilia kama haya.
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.
Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero.
2. Mahubiri mengi yamelenga...
Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye kupendwa kuliko michezo mingine yoyote ile.
Hawa tunaowaona wamejaa majukwaani na matarumbeta yao wakiwa...
Kuna watu wananeemeka na kuwa matajiri zaidi baada ya kuondoka kwako na wale masikini wanakuwa masikini zaidi, je umetuachia laana au umewaachia neema, miaka yako michache sikuwahi pata shida ya maji na umeme hata kama vilikuepo sikatai lakini watendaji wanatumia siasa kwenye suala la maisha ya...
Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto.
Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu unaosababishwa na hitilafu ya kimaumbile ambayo mfumo wa mdomo unashindikana kuungana ipasavyo wakati wa...
Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata matatizo ya ghafla yasioweza kuelezeka, nawashangaa sana watu wenye dini yao wanavyopambana kumsaidia...
TUACHE KUFARIJIANA; UMASIKINI NI LAANA!
Anaandika, Robert Heriel
Angalizo; Kama hutaki ukweli pita kushoto sio lazima usome, Kama hutaki andiko refu pita kushoto. Kama unapenda maneno matamu matamu! Pita kushoto, leo sina hayo maneno ya uongo uongo!
Ukweli usemwe! Ukweli ndio utakaotuweka...