ladha

Ladha (Pashto: لده‎; Urdu: لدها‎) or Lada is a town in South Waziristan, in the Khyber Pakhtunkhwa province (formerly in the Federally Administered Tribal Areas, now merged with province), located between Wanna and Razmak. Just north of Ladha is the small town of Makin while 10 km to the south of Ladha is the village of Kaniguram, the historical homeland of the 16th-century revolutionary leader Bayazid Pir Roshan.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Tuipe ladha Jamiiforums kwa kuboresha ujengaji wa hoja kwenye Majukwaa mbalimbali

    Wasalaam wana JF , Nimekuwa nikifuatilia mada mbalimbali kutoka katika forums hii pendwa kwa muda kidogo, ama kwa hakika JF hutupatia maarifa na uelewa katika nyanja tofauti tofauti kama kisima cha maarifa. Bila shaka utofauti wa forum hii ni nyingine unakuja katika uwasilishaji wa hoja zenye...
  2. U

    Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

    Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature. Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia...
  3. Nyendo

    Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

    Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi. Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe...
  4. Lycaon pictus

    Kwa nini maji yanakuwa na ladha chungu ukiyanywa baada ya kula nanasi?

    Eti wakuu, kwa nini hili hutokea?
  5. Lameckjr

    Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  6. I

    Ladha ya uchachu ya baadhi ya mafuta ya alizeti

    Hii ni mara ya pili nanunua mafuta ya alizetia ambayo yanatia ladha mbaya kwenye chakula. Hivi wengine mshakutana na hii? Kuna anayejua inasababishwa na nini? Au ndo alizeti feki?
  7. FRANCIS DA DON

    Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
  8. C

    Tatizo la ladha ya chumvi mdomoni

    Nawasalimu kwa ujumla wenu. Kama heading inavyojieleza, nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake. Nina wiki moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi, nilijaribu kwenda hosptali ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia.
  9. Mganguzi

    Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

    Najua CHADEMA Huwa hawapendi kuambiwa chochote. Muda wote wanaona wako sahihi .usiwakosoe usiwaambie hapa mnapotea au pale pametoboka. Wana haiba ya ujuaji ingawa sio wote. Kivyovyote vile lazima tuwaambie ukweli ,CHADEMA ya Sasa imepoa hata viongozi wake wamepoa sana ,hatuoni zile harakati...
  10. Linguistic

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi. Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda. Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
  11. Joseverest

    Sababu zinazochangia mahusiano ya mapenzi kupungua ladha

    Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati. Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au...
  12. I

    Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi. Hivi hii ishawahi kuwakuta...
  13. Sky Eclat

    Ndizi za blue kutoka Hawaii zina ladha ya vanilla

    Blue Java bananas are popular bananas that can be eaten fresh or cooked. They are known for their fragrant flavour which has a vanilla-like custardtaste.[2] The fruit goes well with ice cream. They are also popular as ornamentals and shade plants for their unusual blue coloration, large size...
  14. F

    Why ligi yetu haina mechi zenye ladha kama za champions league. Eg. Jwaneng, ud songo, rivers , zesco , mazembe etc

    Habari wadau Mimi ni shabiki sana wa soka la bongo. Nimejaribu kuvuta kumbu kumbu sijapata kabisa mechi za mashindano ya bongo yenye ladha kama za caf champions league. Jwaneng simpi sifa kwa kuifunga simba. Ila nampa sifa kwa kupiga mpira mkubwa away bila kukata tamaaa mwanzo mwisho. Yaani...
  15. Poa 2

    Utamu wa vyombo vya Dola kuonjeshwa ladha ya madaraka matamu ya kisiasa

    Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake. Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza. Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
  16. Sol de Mayo

    Uyanga na Usimba umepoteza ladha ya hili jukwaa

    Habarini Wadau! Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k. Ukiingia tu jukwaa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho, ni nadra muno kukutana na International sports...
  17. Last emperor

    Enzi za Dkt. Bashiru kabla hajaonja ladha ya Madaraka

    Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers! Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja kuyaishi baadae. Dk. Bashiru Ally alikuwa muumini mkubwa sana wa katiba mpya na alipinga kwa nguvu...
  18. Nyendo

    Ladha ipi ya juisi huwezi kuichoka?

    Habari wana jukwaa, Kama mada inavyojieleza. Ni ipi ladha ya juisi huwezi kuichoka hata unywe mara nyingi. Kwa upande wangu mchanganyiko wa nanasi, parachichi na pasheni. Kwa kweli napenda sana mchanganyiko huu na ile harufu ya pasheni ndio naburidika kabisa. Hii hata uandaaji wake sio mgumu...
Back
Top Bottom