Tunajua laini za simu szisizosajiriwa ikifika 31Desemba Kisha 20Januari 2020, zitafungwa.
Tunajua serikali ilipitisha na kuridhia laini za simu kuwa akaunti za pesa pia
Tunajua simu ikifungwa akaunti ya pesa haiwezi kutumika, maana unaanza kuwa na laini ndio upate akaunti ya pesa na sio...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali haitaongeza muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole, huku akitahadharisha kuwa katika siku zilizosalia, kasi ya wizi wa kimtandao kupitia simu za mkononi umeongezeka.
Amesema hayo jijini Dar es Salaam...
BENJAMIN MASESE - MWANZA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) zimeeleza sababu zilizochangia wengi kushindwa kusajili laini za simu zao kwa wakati.
Zimesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka jana, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa njia ya...
Laini kufungiwa kwa kigezo cha kutosajiliwa kwa njia ya vidole ni suala linalo trend kwa sasa kuna changamoto zipo katika suala hili kwangu kuna maswali yanayotaka majibu kwa uelewa wangu
1. Kitambulisho cha nida kinaruhusu kusajili laini ngapi ??
2. Mtu mwenye ulemavu wa...
Nimeshangaa sana baada ya Rais kubadili Maelekezo yake. Mwanzoni alikiri kuwa ni vigumu usajili kukamilika kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa lkn jana ameelekeza kuwa kufikia Tarehe 20 Januari 2020 usajili huo uwe tayari. Nikaangalia nilipo mimi huku Idukilo - ukitaka kukutana na NIDA mpaka...
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31.
Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole
Mwananchi
====
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wanaJF!
Usajili wa laini kwa alama za vidole umekuwa changamoto kubwa sana miongoni mwetu hapa nchini. Kutokana na hilo watu wamekuwa wanachukua njia mbadala ili kuepuka kufungiwa laini zao.
1. Baadhi huwachukua marafiki/ndugu/jamaa wenye vitambulisho na kwenda...
Mamlaka hiyo imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo.
Aidha, imesema wananchi wanatakiwa kwenda kusajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya uraia, na kuthibitisha usajili huo kabla ya muda uliowekwa kwa kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kuzifunga.
Akizungumza...
SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Kauli hiyo ameitoa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, alipozungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2019.
Amesema, ni maelekezo ya Rais John Magufuli kwamba...
Haya makampuni ya Simu ya Tigo na Airtel yanafanya zoezi la usajili wa laini kuwa gumu kutokana na utaratibu wao wa kipekee waliojiwekea.
Ukienda kusajili laini Vodacom unatakiwa uoneshe kitambulisho chako cha NIDA pekee alafu unawatajia namba zako za Vodacom unazotaka kusajili (hata kama ni...
Wadau habari za wakati huu.
Naenda kwenye mada moja kwa moja. Leo nimepokea jumbe zenye maana na angalizo jumuishi kama hiyo attachment inavyojieleza.
Sasa swali ninalojiuliza ni kwamba iwapo mimi nimeshajisajili kwa kuchukuliwa alama za vidole kwa nini mtu mwingine ajisajili kwa kutumia namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.