laini

  1. F

    Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

    Tunajua laini za simu szisizosajiriwa ikifika 31Desemba Kisha 20Januari 2020, zitafungwa. Tunajua serikali ilipitisha na kuridhia laini za simu kuwa akaunti za pesa pia Tunajua simu ikifungwa akaunti ya pesa haiwezi kutumika, maana unaanza kuwa na laini ndio upate akaunti ya pesa na sio...
  2. Serikali kutoongeza muda kusajili laini

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali haitaongeza muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole, huku akitahadharisha kuwa katika siku zilizosalia, kasi ya wizi wa kimtandao kupitia simu za mkononi umeongezeka. Amesema hayo jijini Dar es Salaam...
  3. TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

    BENJAMIN MASESE - MWANZA MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) zimeeleza sababu zilizochangia wengi kushindwa kusajili laini za simu zao kwa wakati. Zimesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka jana, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa njia ya...
  4. Kuelekea siku ishirini kabla ya laini kufungiwa changamoto hizi kama zipo laini hazitafungiwa

    Laini kufungiwa kwa kigezo cha kutosajiliwa kwa njia ya vidole ni suala linalo trend kwa sasa kuna changamoto zipo katika suala hili kwangu kuna maswali yanayotaka majibu kwa uelewa wangu 1. Kitambulisho cha nida kinaruhusu kusajili laini ngapi ?? 2. Mtu mwenye ulemavu wa...
  5. T

    Yaani Rais anafitinishwa hivi hivi - Usajili wa laini simu usilete chuki

    Nimeshangaa sana baada ya Rais kubadili Maelekezo yake. Mwanzoni alikiri kuwa ni vigumu usajili kukamilika kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa lkn jana ameelekeza kuwa kufikia Tarehe 20 Januari 2020 usajili huo uwe tayari. Nikaangalia nilipo mimi huku Idukilo - ukitaka kukutana na NIDA mpaka...
  6. Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole Mwananchi ====
  7. Mawakala wanaouza laini zilizokwishasajiliwa kwa alama za vidole wamesajili laini hizo kwa vitambulisho vya nani?

    Heri ya Krismas na Mwaka mpya wanaJF! Usajili wa laini kwa alama za vidole umekuwa changamoto kubwa sana miongoni mwetu hapa nchini. Kutokana na hilo watu wamekuwa wanachukua njia mbadala ili kuepuka kufungiwa laini zao. 1. Baadhi huwachukua marafiki/ndugu/jamaa wenye vitambulisho na kwenda...
  8. TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

    Mamlaka hiyo imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi wanatakiwa kwenda kusajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya uraia, na kuthibitisha usajili huo kabla ya muda uliowekwa kwa kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kuzifunga. Akizungumza...
  9. Dodoma: Mh. Kangi Lugola asema hakuna Mtanzania ambaye atafungiwa laini yake ya simu kwa sababu ya kutosajili kwa alama za vidole

    SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Kauli hiyo ameitoa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, alipozungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2019. Amesema, ni maelekezo ya Rais John Magufuli kwamba...
  10. M

    Tigo na Airtel acheni usumbufu kwenye kusajili laini

    Haya makampuni ya Simu ya Tigo na Airtel yanafanya zoezi la usajili wa laini kuwa gumu kutokana na utaratibu wao wa kipekee waliojiwekea. Ukienda kusajili laini Vodacom unatakiwa uoneshe kitambulisho chako cha NIDA pekee alafu unawatajia namba zako za Vodacom unazotaka kusajili (hata kama ni...
  11. Usajili wa laini za simu kwa alama za vidole against ujumbe uliozagaa leo

    Wadau habari za wakati huu. Naenda kwenye mada moja kwa moja. Leo nimepokea jumbe zenye maana na angalizo jumuishi kama hiyo attachment inavyojieleza. Sasa swali ninalojiuliza ni kwamba iwapo mimi nimeshajisajili kwa kuchukuliwa alama za vidole kwa nini mtu mwingine ajisajili kwa kutumia namba...
  12. LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    Nauza line mbili moja ya tigopesa na nyingine ya m-pesa. Serious customers tuwasiliane. 0763776305 zote mbili 350,000/= NOTE: Bei Haipungui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…