"Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure,
Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo.
Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
🚨"THIS IS ONLY THE BEGINNING", SAYS LAIZER
Right after the finish line of the UCI World Championships in #Zurich2024, here is what Richard Laizer told us:
“I am very happy with my first Cycling World Championships! I could feel a very special, warm and powerful atmosphere with the crowds and...
-Habari za kazi viongozi, nisiwachoshe niende moja kwa moja katika swali langu.
-Nimekuwa msikilizaji wa nyimbo za kibongo hasa kizazi kipya. nilijipa mda kusikiliza nyimbo zilizotengenezwa na producer Zombie (Stykz). nilichogundua nyimbo nyingi alizotengeneza ni za wasanii kutoka wasafi...
Lazier lipa bana atujazoea kuringishana huku tunadhulumu watu
ARUSHA: Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Saninu Laizer maarufu kwa jina la Bilionea wa Tanzanite amemwangukia Mwekezaji raia wa China, Jun Fang akiomba wakae...
Hapo vip!!
Kuna siku nimemsikia mwanasiasa mmoja anayeitwa Lema akiwa anamuongelea TAJIRI LAIZER kisiasa na kihuni, nikawasikitikia watu wasiofahamu ukoo wa Laizer watakavyojazwa ujinga na Lema.
Kwanza niseme Lema anajaribu kutumia jukwaa la kisiasa kuropoka, akijua watanzania wengi ni wavivu...
Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Mgombea wa nafasi ya MNEC toka mkoa wa Arusha, mfanyabiashara wa madini Ndugu, Gabriel Sendeu baada ya kuona nguvu yake ya fedha haiwezi kumsaidia kushinda nafasi hiyo amechagua kutumia ukabila kutafuta kura kwa wajumbe.
Sendeu Laizer siku ya juzi akiwa kwenye kikao na timu yake ikiongozwa na...
YALIYOJIRI SIMANJIRO:
Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite nchini Tanzania, Saniniu Laizer amechangia Sh5 milioni za ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT) ili kuboresha utendaji kazi wa walimu.
Laizer maarufu bilionea Laizer ametoa fedha hizo Jumamosi Oktoba 30, 2021 kwenye...
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya
Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
Mchimbaji mdogo mdogo wa Madini ya Ruby yaliyopo katika kata ya Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha Sendeu Laizer ameibuka kuwa tajiri katika sekta hiyo baada kupata tani tano za madini hayo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.7.
Hiyo ni mara ya pili kwa wachimbaji wadogo wadogo...
Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
Nimesoma habari hiyo kutoka katika ukurasa wa ripota wa billionea huyo, Millard Ayo.
Kwa kuwa JF ni kisima cha watu makini, hebu tujaribu kuelezana nini hasa inaweza kuwa sababu ya yeye kuuwawa?
=======
Watu wasiojulikana wamemuua Manace William Lemoringeti, mlinzi wa mgodi wa Bilionea...
Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa.
Nipashe
Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
Habari wanaJamiiForums,
Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni...
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo, IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii...
Afariki kwa kupondwa jiwe kichwani akichimba madini.
Mkazi wa Kijiji cha Masungura wilayani Meatu, Simiyu Michael Salum (30), amefariki dunia kwa kupondwa na jiwe kichwani wakati akichimba dhahabu ndani ya duara katika machimbo ya Mwakitolyo, wilayani Shinyanga.
Ofisa Madini Mkoa wa Shinyanga...
Bilionea wa Tanzanite Saniniu Laizer leo ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya pamoja na Uongozi wa TANTRADE.
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8.
Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.