Kwamba mawe ya dhahabu, almasi, Tanzanite yaliyoko ardhini yana utajiri ambao hakuna nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani inaweza kufikia thamani take.
Rutuba ya ardhi iliyoko. Tanzania ni zaidi ya majengo yote yaliyoko Ulaya na Marekani.
Samaki tulionao kwenye maziwa na bahari utajiri wake ni...
Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.
Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000
Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata...
Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza.
TSH: 7.7B
Kodi makadirio: 25%: TSH 1.925B
Unabaki na: TSH 5.8B
Weka pesa fixed deposit 10%: TSH 578M kwa mwaka
Weka pesa fixed deposit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.