Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu.
Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema, umri wa miaka 25 tu anatesea na masuala ya uzazi.
Mume anataka mtoto, mimba akishika tumbo halikui...