mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
Dogo anataka kuhama kwao amechoka kula kulala. Mfukoni ana laki tano na ushee. Kaomba ushauri kwangu nimemuahidi jioni nitampa jibu ili nije huku kwa akili kubwa/Great thinkers kuulizia.
Yupo Dar.
Habari wadau
Nauza air condition mpya kabisa, sealed in box
Bei ya kuuza ni laki tano fixed ( haipungui kiasi chochote) mimi nilinunua laki 7, risiti ipo
Brand ni BRUHM
Nilinunua kwa ajili ya kuifunga kwenye barber shop .. kwa sasa wazo la barber shop limeniondoka, nimeona niiiuze tu maana...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema vifungashio vinavyotokana na malighafi ya plastiki na ambavyo havina nembo ya Shirika la Viwango (TBS), haviruhuwi kutumika kuanzia leo.
Jana, Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini, Nancy Nyenga, aliiambia Nipashe kwamba...
Aiseeh! hii imenipa faraja, sio kwa nia mbaya, maana nilikuwa najiona nina bahati mbaya nilipokuwa najiona nina kipato kidogo na nimechelewa kufikia malengo yangu
Rais kasema Kuna mtu kasoma miaka 4 China PhD na alikuwa akilipwa laki 5, japokuwa kateuliwa kuwa DC, lakini inamaanisha bado watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.