lamadi

  1. Maji Chai

    MAANDAMANO LAMADI.

    Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari Sent from my SM-A042F using JamiiForums...
Back
Top Bottom