lami

  1. F

    Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  2. Asfati au Lami: Tanzania Inatumia Zaidi Ipi, je ipi itaokoa matengenezo ya kila mara!

    Swali: Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini? Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo? Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au...
  3. Pre GE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  4. Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  5. Pre GE2025 Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja

    Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema. Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
  6. Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  7. Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  8. B

    Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  9. Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  10. Dhamira ya Serikali ni Kujenga Barabara ya Ndala - Mwawaza kwa Kiwango cha Lami

    DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI "Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 lakini Makamu wa Rais alikuja Shinyanga akatoa ahadi. Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa...
  11. Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

    Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
  12. Serikali kutoa bilioni 3.5 kujenga barabara ya lami Milola

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo.Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jioni ya siku...
  13. Bilioni 11.6 Kujenga Kilomita 7.5 Barabara ya Lami Kata ya Usinge, Kaliua

    BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea kujengwa katika Kata ya Usinge wilayani Kaliua. Jumla ya kilometa 7.5 ambazo zimegharimu takribani...
  14. DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  15. TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  16. Viwanja vinauzwa mita 30 kutoka barabara ya lami ya Makongo-Goba

    Habari za muda huu... Viwanja vinauzwa.. πŸ“ Vipo goba kantina (Makongo road) ⌚ Dakika mbili kutoka Goba center πŸ”₯ ⌚ Dakika 15 kutoka Mlimani city πŸ”₯ πŸ›£οΈ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami 🏟️ Upande wa kulia kutokea Mlimani city 🏟️ Upande wa kushoto kutoka Goba 🏟️ Viwanja vipo tambalale...
  17. D

    Plot4Sale Viwanja vya kwanza lami Dar road mtumba vinauzwa sqm 5229 bei mil 145

  18. Katika mkoa wangu nilipo sioni tena barabara mpya zikiwekwa lami

    Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer kadhaa unakutana na camp ya wakandarasi.
  19. Rais Samia: Barabara ya Tabora - Mpanda unateleza na lami tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora hadi Mpanda (km 352) ni ya kiwango cha lami. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Julai 13, 2024 wakati...
  20. Bashungwa: Nitakuja Kumkabidhi Mkandarasi, Ujenzi wa Lami ya Barabara ya Omurushaka - Kyerwa

    NITAKUJA KUMKABIDHI MKANDARASI, UJENZI WA LAMI BARABARA YA OMURUSHAKA - KYERWA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imeshampata Mkandarasi wa kuanza Ujenzi wa barabara ya Omurushaka – Kyerwa kwa kiwango cha lami ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…