This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Wakala ya Barabara (TANROADS) imekamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro na Sasa Serikali ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi wa kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami kipande cha Ushirombo hadi Nyikonga (km 22.5), pamoja...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami katika Jimbo la Lupembe ambapo amesema jumla ya shilingi Million 500 zimetengwa.
Katimba amesema hayo...
Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo:
1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40.
2. Randama (Kitabu cha Bajeti) kinasomeka hivi;
(2a) Ukurasa wa 116 unaorodhesha barabara hilo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025...
Kuuliza si ujinga. Nakumbuka mara ya pili walitangaza kujenga barabara Ubungo Kimara.
Watu waoga wakavunja mpaka leo hii ile njia haijajengwa. Sasa kuna hii njia ya kmr bonyokwa tunapenda sana mafanikio jamani. Tukafurahia mno ghafla tukaona malori madubwasha ya kuvunja na kukwangua njia...
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa.
Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI - DAREDA MISSION BABATI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
MBUNGE KASALALI: JIMBO LA SUMVE HATUNA HATA MILIMITA MOJA YA LAMI, TUMECHOKA!
Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Emmanuel Kasalali amechangia, April 4.2024 Bungeni jijini Dodoma ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri nya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kuongea na Waziri wa...
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amechangia Bungeni Jijini Dodoma, leo April 4,2024 ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuzungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kutekeleza majukumu...
Serikali imepanga kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa kuanza ujenzi wa barabara ya Kyaka - Katoro - Kanazi hadi Kyetema yenye urefu wa kilometa 60.7 kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi na uwekezaji ndani ya Mkoa wa Kagera.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi...
Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora, Kagera na Kigoma.
Mkataba huo umesainiwa kati ya Wakala wa Barabara...
BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI
Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora...
Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA?
Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
Moja ya ahadi ya Mhe. Chege tulipomchagua alituahidi kuwa katika miaka yake mitano atahakikisha barabara hii inakamilika kwa asilimia mia moja. Ujenzi wa barabara ulianza mwaka 2005 na mpaka sasa umejengwa kwa kilomita 14 tu.
Maeneo mengine ya nchi hii kila kukicha barabara za lami...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika kata ya Lupembe Halmashauri ya Njombe.
Ameyasema hayo mkoani Njombe...
WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Ramadhani – Iyayi yenye urefu wa kilometa 74 ambayo imekuwa ni kilio kikubwa cha...
Huyu bwana ni msaani!
Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja!
Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU.
Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.