Nimeshangaa sana hii barabara kukosa tena kwenye bajeti ya mwaka ujao. Sasa lami itakuwa ikiyatoa mabasi stand yakapita mbezi high school kidogo lami inaishia hapo.
Kwa kweli ni maajabu sana. Hivi kwa ubusy wa ile barabara kweli unaweza kuiacha kwa miaka kumi yote??!
Kwa kweli nimeshangaa na...
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
===
Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa...
Hello Jf
Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248
limepimwa tayari beacon zipo
Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi
Halina tatizo lolote.
Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA KITUO CHA MAFUTA), YARD YA MAGARI ama ukajenga makazi
BEI ELEKEZI NI 160 million Tshs.
mpigie mwenye...
Ukweli ni kwamba maisha ya mjini yanategemea sana maisha ya watu wa vijijini, vijijini ndo kwenye lishe, utajiri na mali ghafi zote Muhimu kwa nchi nzima na hata nje ya nchi. :
Lakini tatizo linakuja pale barabara za mjini tu ndo zinazingatiwa haswa katika uwekaji wa Lami lakini sehemu nyingi...
Hii barabara ni ya vumbi Inatokea Tengeru kupitia chuo cha mifugo kuelekea mbuguni.
Barabara hii hiyo inapita katika taasisi ya Tari hot Tengeru. Na pia inapita katika chuo cha Maendeleo ya jamii (TICD) na chuo cha mifugo cha Tengeru,bila kusahau kuwa bara bara hii ndio inayopita katika chuo...
Kwa ambaye ameenda Aprili akienda leo atashangaa makaburi ya Ununio yalivyoongezeka mji umepanu Kinondoni inasubiri sana yamepangika kwa heshima ukiwaza sana unaweza omba ubakie huko
Kuna njia ya kuingilia makaburini opposite na Kanisa la Lutherani tunaomba Manispaa wekeni lami ile njia...
Ni muda sasa wananchi wa kata ya Sinoni wanaotumia bara bara ya Engo wamekuwa wakilalamika ubovu wa barabara ya Engosengiu kutokea kipande cha makutano ya Reli, mjini hadi kwa mamalaizer kuelekea Nado, chakusikitisha hii ni moja ya bara bara ambayo ipo katika kata za mjini kabisa.
Kipindi...
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,
"Hakuna kama Samia "
Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzania hawa masikini...
WANANCHI WA MWASONGA WAMTAKA NDUGULILE KUFUATILIA KILIO CHA BARABARA YA LAMI YA KIBADA-MWASONGA
Wakazi wa Mwasonga leo tarehe 2 Oktoba 2021 wamefanya kikao na Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile (Mb) kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za eneo hilo ikiwa ni pamoja na umeme...
Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu.
Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake.
Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na TANROADS kuhusu kiwango cha lami.
Ukipata muda asubuhi nenda na vijana wa Tanroads mpaka kwa Musuguri geuzeni njoo Kimara hapa kati haya mawimbi ni aibu nilijaribu...
Migodi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu Itumbi Chunya Mbeya ni mingi zaidi ya wachimbaji wadogo na kati 5000 tupo eneo hili, ila tuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa barabara ya lami.
Tafadhali serikali mtuwekee lami huku ili biashara yetu ya madini iwe rahisi. Tunazalisha sana madini huku...
Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la kaburi.
Ombi hilo limetolewa mbele ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud aliyezuru...
Wana JF,
Vodacom Kwa Sasa rasmi Kibanda umiza. Ukiacha hela kidogo Tu wanaanza kukwambia Asante Kwa kujiunga Sasa endelea kuchagua ili ushinde. Unaweza weka fedha kufungua kifurushi wataficha menu hhuku wakikuwekea fedha Za kiwango cha chini. Upati menu ulizoziona kabla ya kuweka fedha.
Mfano...
Nimekuwa nikipigia sana kelele suala la kuwa na barabara ambazo zimepakwa lami na baadaye kuja wekewa matuta Serikali iziangalie.
Ni mwaka wa tatu huu napata changamoto kila napowaza kununua gari za chini zenye speed.
Ukiangalia barabara nyingi za hapa TZ ni kama barabara za lami.ila watu...
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283...
apartment
beach
bei
biashara
buguruni
eneo
ghorofa
hai
hasara
inauzwa
kali
kariakoo
kibamba
kigamboni
kilimanjaro
kimara
kubwa
kutoka
lami
maana
maji
mbezi
mbezi beach
milioni
mita
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kisasa
nzuri
tabata
uchukue
vyumba
Kutokea mwananyamala A hadi kona ya studio mkandarasi ametoa lami ya zamani kisha amefungulia barabara maisha yanaendelea.
Ndio nauliza kwanini uliondoa ile lami ya zamani?
Yaani umechimbachimba hadi vibarazani mwa nyumba za wenyeji halafu umejiondokea!!!
Kwa mfano pale Komakoma kwa Makongoro...
Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa kumbe siku zangu bado nikajitupa haraka chini ya semi likapita juu yangu kuanzia kichwa mpaka kontena...
Kuna umuhimu gani wa kujenga serivice road kwa kiwango cha lami huki barabara nyingi jijini bado hazina lami. Mfano hii Sam Nujoma Road na Bagamoyo road hizi service road walizojenga si zingewezq kusaidia sehemu zingne zenye uhitaji wa barabara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.