Kumekuwa na mkanganyiko wa nauli za daladala zinazotozwa na waedesha/WAMILIKI Daladala mjini Tanga. Kila gari linatoza linavyojifikiria kwa sababu HAKUNA MWONGOZO.
Kagueni magari na hakiki nauli zilizoandikwa ubavuni kama zinafuata viwango vya latra kama zilivyoainishwa katika tangazo la...