law school

A law school (also known as a law centre/center, college of law, or faculty of law) is an institution, professional school, or department of a college or university specializing in legal education, usually involved as part of a process for becoming a judge, lawyer, or other legal professional within a given jurisdiction. Depending on the country, legal system, or desired qualifications, the coursework is undertaken at undergraduate, graduate, or both levels.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  2. Mayor of kingstown

    Law school of Tanzania imekua ya ovyo au imeingiliwa na siasa

    Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu ●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi anaweza kuomba exemption kwa chief justice na kutunukiwa uwakili bila kupita law school, hili hali...
  3. realMamy

    Baada ya Kufuta “Law School” Mawakili wasomi na walio bora watapatikanaje?

    Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo. Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
  4. LIKUD

    Hongera Serikali kwa kufuta Law School. Sasa fanya na haya yafuatayo tafadhali. Utapendwa upendo wa kutoka moyoni na 85% ya wa Tanzania

    Nianze kwa kuipongeza serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuifuta Sheria ya Law School Of Tanzania. Sheria kandamizi, iliyo kuwa ina wanyonya na kuwadhulumu vijana wa kitanzania kutoka familia masikini. Sheria isiyo kuwa na mashiko, mantiki wala faida...
Back
Top Bottom