Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu
●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi anaweza kuomba exemption kwa chief justice na kutunukiwa uwakili bila kupita law school, hili hali...
Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo.
Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
Nianze kwa kuipongeza serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuifuta Sheria ya Law School Of Tanzania.
Sheria kandamizi, iliyo kuwa ina wanyonya na kuwadhulumu vijana wa kitanzania kutoka familia masikini.
Sheria isiyo kuwa na mashiko, mantiki wala faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.