Wakuu hivi tangia Mh Magufuli afondoke hivi kuna shirika limekua la ovyo kuzidi hili TAZARA.
Just imagine tupo stesheni toka saa 9 mchana lakin tren kuondoka saa 5 usiku.
Mama Samia pamulike kwa jicho la tatu Sana hapa. Wafanyabiashara tunaotegemea huu usafiri unatutesa sana.
NAITUPIA LAWAMA SIMBA "WEKUNDU WA MSIMBAZI" KWA KUMLIZA MESSI HADHARANI.
Baadhi ya vyombo vya habari vya Hispania na Argentina vimedai kama Leonel Messi wa PSG angekubaliwa kujiunga na Simba SC "wekundu wa Msimbazi" hakika kile kilio chake tusingekiona. Lile chozi ni baada ya kukosa nafasi ya...
Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume.
Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo.
Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe.
"Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.
Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?
Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.
Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.
Na 99% ya Mazungumzo...
Kauli ya Mkuu wa nchi ya kwamba kazi ya Uraisi ni ngumu inaturudisha enzi za mwendazake maana na yeye alikuwa akitamka mara kwa mara kauli hii.
RAIS Samia ameweka wazi ya kuwa pamoja na ugumu anaokutana nao, yeye kama yeye anashukuru ya kuwa anapata msaada kutoka kwa idara na taasisi mbalimbali...
Mwanzo Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi na taasisi fulani ila badae mwaka 2017 ilifunga shughuli zake nchini Tanzania.
Nikapoteza kazi na nikawa muda mwingi nipo nyumbani napanga mipango ya kupata pesa nikiwa nyumbani muda mwingi .
Yaani kwa wiki nilikuwa natoka siku 4 siku tatu nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.