lebanon beirut

  1. Ritz

    Wanajeshi 50,000 wa Israeli Wanashindwa kuteka Kijiji Kimoja cha Lebanon

    Wanaukumbi. 50,000 Israeli Soldiers Keep Failing to Occupy a Single Lebanese Village Yedioth Ahronoth reported that "after a month of ground operations, 5 Israeli military divisions & a reserve brigade—over 50,000 soldiers, triple the number deployed in the 2006 July War—have failed to...
  2. J

    Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

    Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel. Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel...
  3. U

    Ndege za kivita za IDF zatanda anga la mji Mkuu wa Lebanon Beirut, taharuki kubwa yatanda

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda huu ndege za kijeshi za Israel limetanda na kuzunguka kwa Kasi ya kimbunga juu ya anga la Beirut ambayo ni mjii Mkuu wa Lebanon. Ndege hizo zimezusha taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo huku wakihofia maisha yao na pia kwa sababu ya kelele kubwa za...
Back
Top Bottom