Baada ya timu yao kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Fulham ikiwa ni mchezo wao wa 7 mfululizo kupoteza katika Premier League, mashambiki wa Leicester City wamemgeukia kocha wao, Ruud van Nistelrooy na kumwambia “Hujui unachokifanya”.
Mashabiki hao waliimba katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.