Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya...
Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule
Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni...
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?
Taifa letu tutazidi...
Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi.
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:
Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema...
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:
Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.
Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
Inakuwaje wanajamvi!
Mwamba wa Kaskazini Godbless Lema bado anawaacha vinywa wazi wana usalama hadi navyoandika huu uzi aliwezaje kuwatoroka kitaalam pale Mpakani namanga?
Huyu mwamba ni hatarii techniques alizotumia si za kawaida ni military offensive techniques alitumia kama countersugency...
Lazima utofautishe ziara za kiutendaji na ziara za kisiasa.
Gambo haya unayolialia uliyatengeneza ukiwa RC Arusha dhidi ya MP/Mbunge godbless_lema.
Leo yanakurejea wewe mwenyewe pole usilie lie,ila Mbunge nafasi yake ni kubwa kuwakilisha wananchi na kuisimamia Serikali (Kuanzia Rais, mawaziri...
Waliomshitaki wameshindwa kuthibitisha mashtaka yao jambo lililopelekea Mahakama kuamua kumwachia huru .
Ikumbukwe kwamba Mh Lema aliweka hadharani orodha ya watu waliouawa kinyama mkoani Singida kutokana na kuiunga mkono Chadema , hicho ndio kikawa chanzo cha kukamatwa na kushitakiwa ...
Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu.
Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.
Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka...
Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na...
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?
Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi.
Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...