Waja JF,
Kwenye majukwaa ya kampeni za uchaguzi, Godless Lema na Halima Mdee wamekuwa wakitumia clips zenye maneno ya wapinzani wao kuonyesha jinsi walivyo vigeugeu katika maisha yao, wenye kutoa ahadi za uongo, nk. Leo wanasema hili na kesho wanasema lile na kwa hiyo wasiaminiwe na wananchi...