February 2, 2020
Mh. Lema atoa ushauri kwa idara za serikali kuhusu usalama
Mh. Lema mbunge wa CHADEMA na waziri kivuli wa Mambo ya Ndani kambi ya upinzani, atoa ushauri kwa vyombo vya usalama kama Jeshi la Polisi, Idara ya Zimamoto na Uokoaji juu ya kujipanga popote kunapokuwa na mikusanyiko...