lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa mtaji wa kuwa na Lema nadhani CHADEMA itapendeza kuwa taasisi ya kidini (kikristo)

    Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine. Mara nyingi wanamichezo...
  2. M

    CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

    Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu. Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko...
  3. R

    Lema: Msitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki

    Lema amewaambia waislamu wasitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki. Huku akiwaambia Wakristo wasitetee mtu sababu ya uchungaji bali wamtetee sababu ya haki. Akisema kuwa wengi wanaleta mambo ya udini sababu hawamjui Mungu, Maandiko wala haki, na kwamba wangekuwa...
  4. R

    Lema: Unapokuwa na viongozi mawazo yao ni uchaguzi na sio kizazi kinachokuja figo zenu zitasainiwa kuuzwa China

    Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi. Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
  5. Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  6. M

    Majeruhi zaidi ya 15 wa ajali ya bodaboda hupokelewa MOI kila siku. Lema alikuwa sahihi

    Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana. Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi
  7. J

    Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake...
  8. Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze...
  9. 4

    Maneno ya Lema yanasikika sana, utakuwa mpumbavu usipoweza yapembua

    Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu Husika na mada tajwa hapo juu, Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa...
  10. Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
  11. Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo. Hata hivyo amesema...
  12. Taifa linahitaji uwepo wa watu kama Lema kuamsha wananchi wanaoridhika na ujinga tunaoaminishwa na CCM

    Yah salaam wakuu. Huu muendelezo wa kauli za Lema kwa watu wenye kichwa cha bata wataona jamaa kama anatudharau lakini lahasha jamaa anatupigia alarm tuamke. Lema anajaribu kutuambia tangu tupate uhuru hakuna kitu cha maana kinafanywa na CCM zaidi ni kutudanganya tu wananchi. Lema anajaribu...
  13. J

    Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu. Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa. Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia...
  14. Gobless Lema ana elimu kiwango gani?

    Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ya Mr Gobless Lema. Maana anavyoongea anajijua mwenyewe, au hajapata mgao?
  15. Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

    Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika: “Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura hii kutoka Moyoni mwake bila hila, bila shaka anaweza kuja kuwa kati ya Rais bora kabisa Tanzania...
  16. K

    Tumefanywa Misukule muda mrefu. Lema tukomboe

    Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule (wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule (viongozi waovu) waamke na kutubu. Haiwezekani tufikirishwe vitu vidogo vidogo. Haiwezekani eti bodaboda ni ajira wakati hainihakikishii maisha marefu na...
  17. K

    Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

    Aisee binafsi nimekuwa nampinga Lema toka afike nchini na kuibua hoja mbali mbali. Lakini sasa naomba niseme samahani Lema nimekukosea Sana. Nimekaa kwenye tafakari siku 3 nikagundua kwamba jamii ya watz iko gizani hivyo hiawezi kung'amua hoja nzigo za Lema, na bahati mbaya hata wenye kuelewa...
  18. Godbless Lema shukuru Nyerere hayupo hai angekufunza adabu

    Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga. Serikali inapaswa...
  19. Nadhani Lema ajibiwe hoja zake

    Jamaa ukiangalia ana hoja juu ya masuala aliyozungumza na kuleta tafrani kwa wasiotaka kutumia akili na kufikiri kabla ya kujibu. Ukiangalia aliyoyalenga mfano bodaboda ile ni ajira shikizi kwa vijana sababu hawana jinsi! But haya Lema anayoongea ni chachu kwa utawala kufungua milango ya ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…