lengai ole sabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Ole Sabaya na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa saba wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi akiwAmo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Leo Januari 14, 2022 Hakimu Mkazi anayesikiliza kesi hiyo namba 27 ya mwaka 2021, Patricia Kisinda amesema baada ya...
  2. Jembe Jembe

    Hukumu ndogo kesi ya Sabaya kusomwa Januari 14, 2022

    Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo januari 14, mwaka huu wa kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya{34} na wenzake sita kama ana kesi ya kujibu au laa . Hayo yalisemwa na Hakimu Mkazi wa Mhakama...
  3. THE BIG SHOW

    Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  4. R

    Sabaya na Makonda hawastahili kushtakiwa

    Sababu kubwa kwanini hawastahili kushitakiwa ni Katiba yetu inatoa mamlaka kubwa sana kwa taasisi ya Urais ,hivyo kila Rais anateua kulingana na mfumo anaotaka kuongoza. Awamu iliyopita iliamini ukitakuongoza nchi za Afrika ni lazima ulazimishe watu watii amri, wafanye kazi, na hela iingie...
  5. J

    Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

    Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli. Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe. The big 5 ndio watailinda legacy...
  6. Jerlamarel

    TAKUKURU Kilimanjaro: Uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomhusu Ole Sabaya unaendelea vizuri

    Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro. "Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine...
  7. kipara kipya

    Hatukujua uhalifu wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha, tuwe na utulivu yajayo yanafurahisha

    IJUMAA KAREEM Wengi wao nami ni mmojawapo hatukujua upande wa pili wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha vitendo vyake vya kihalifu alivyovifanya, hapa somo linakuja tusikauke mate wala kukaza shingo kutetea watu tusiowajua upande wao wa pili wala tusioishi nao na kujua nyendo zao za siri...
  8. Kinuju

    Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

    Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya. Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii, Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa...
  9. MGOGOHALISI

    Sabaya amekuwa mfano mzuri wa wanaojifanya kutumwa na mamlaka za juu. Wengine kaeni mguu sawa

    Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo. Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua...
  10. Mystery

    Kufungwa jela kwa Sabaya kutarudisha tafsiri sahihi ya kuwa wapinzani siyo Maadui, bali ni wadau wa maendeleo

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5, chini ya utawala wa hayati John Magufuli, tafsiri ya kuwa mpinzani ilibadilishwa na kuwa ni adui wa maendeleo, badala ya tafsiri sahihi kuwa wapinzani ni wadau wa maendeleo. Utendaji kazi wa watendaji wengi Katika awamu hiyo walijibadilisha, badala ya kufanya...
  11. BAK

    Kundi la Wanafiki laibuka kutaka Ole Sabaya aonewe huruma

    Baada ya jambazi Lengai Ole Sabaya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, limejitokeza kundi la WANAFIKI wanaotaka Sabaya aonewe huruma. Lakini ni watu haohao walikaa kimya Sabaya alipovunja miguu vijana wa Chadema kule Hai. Ni watu haohao waliokaa kimya Sabaya alipomkata sikio mtoto wa diwani...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Kupitia Sabaya, mmeiona picha ya Hayati Dkt. Magufuli tuliyemlalamikia?

    Tunaendelea..... Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu. Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
  13. F

    Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

    Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC. Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani. Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu? Mbona...
  14. Petro E. Mselewa

    Kiukweli, nimeifurahia hukumu ya Lengai Ole Sabaya

    Nawasalimu waungwana wa JF, Jana ilisomwa hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Sasa inajulikana kuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Kila upande: wa mashtaka na ule wa utetezi una haki ya kukata rufaa ndani ya muda na...
  15. Ngongo

    Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

  16. K

    Sabaya tegemeo la Serikali kesi ya Mbowe

    Pamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa maslahi ya Taifa na hivyo wanajipanga kumtoa kwenye kesi inayomkabili kwa sababu kuu mbili; 1. Kumkamata...
  17. Shujaa Mwendazake

    Mahakama itamleta IGP Sirro na Sabaya Mahakamani kama ilivyoombwa na Wakili Kibatala

    Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha. Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa. Je, Mahakama itaridhia na...
  18. mshale21

    Sabaya: Sikumbuki kushtakiwa kwa kujifanya Usalama wa Taifa

    Arusha. Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, amedai hakumbuki kushtakiwa kwa kujifanya ofisa Usalama wa Taifa wala kuhojiwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana, Sabaya alitoa madai...
  19. Analogia Malenga

    Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa. Akihojiwa...
  20. mshale21

    Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

    Kukosewa kwa jina la tatu la mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha Lengai Ole Sabaya, kumesababisha malumbano ya kisheria na kuahirishwa kesi kwa muda. Katika hati ya maelezo ya mashitaka, jina Sabaya limesomeka Sayaba na kusababisha kuibuka kwa malumbano ya...
Back
Top Bottom