lengai ole sabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

    Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa. Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi...
  2. Sabaya kesho kujulikana kama ana kesi ya Kujibu ama la!!

    Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kesho inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kupora Mali na fedha inayomkabili Sabaya na wenzake wawili iwapo Sabaya na wenzake kama wanakesi ya Kujibu ama la. Uamuzi huo utatolewa kesho majira ya saa tatu asubuhi na hakimu...
  3. Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama

    Hakika siku zinakwenda mbio sana na ,ni siku chache sana zimepita toka lile kundi lililojawa furaha isio kifani baada ya aliekua mkuu wa wilaya ya Hai, Sabaya, kupandishwa mahakamani, tabasamu lilikuwa kama lote na Rais Samia kupongezwa na kuambiwa anaupiga mwingi mno. Ghafla kibao kimegeuka...
  4. Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  5. Shahidi kesi ya Sabaya, wenzake aenda kushiriki swala la Eid El Hajj, kesi yaahirishwa

    Kesi ya Sabaya? Ha ha ha! Anashinda mchana hivi anaondoka akionesha vidole viwili alama ya ushindi. Huku akiwa amewagaragaza waliomshtaki. Mbona inaonekana tu ipo wazi wala hata haihitaji Darubini kuangalia kesi inavyoelekea. ---- Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya na...
  6. Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni. Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
  7. Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

    Kama ambavyo Mashehe wa uamsho walivyotolewa. Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu). Mdude kuachiwa(kushinda kesi). Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni. Singasinga. Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa...
  8. Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

    KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM Anaandika Mbatizaji Mkuu Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake...
  9. Huku Sabaya kule Mdude, wote ni wanashitakiwa kwa uhalifu. Mungu awape wepesi

    Habari wadau! Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa. Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki wanayostahiri. Najua wengi wata comment ujinga kutokana na mlengo wao wa kisiasa. Bado tunawaitaji hawa...
  10. Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo cha Afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na rushwa. Awali katika hotuba ya ufunguzi ilielezwa kwamba aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Lengai Ole Sabaya...
  11. Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  12. Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  13. Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

    Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John. Mwezi February mwaka huu...
  14. Mhalifu ni nani ndani ya Ole Sabaya?

    ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, alifikishwa mahakamani jana. Ni matokeo ya tuhuma zinazomuandama kwa muda mrefu sasa. Yameshasemwa na yanaendelea kusemwa mengi. Hisia ni tofauti kuhusu yanayomtokea Sabaya. Kila mtu anataka aseme kitu. Nami nimeshaulizwa kwa nini sisemi...
  15. Kila aliyetenda uovu awajibishwe na waliotendewa waende kushtaki na si kulalamika tu

    Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa. Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania. Kauli za...
  16. J

    Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
  17. Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

    Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
  18. Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

    SABAYA NAKUHURUMIA HUKUMJUA MBOWE NI NANI? Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya kweli kumbe Target yako ni kutafuta wafuasi watakaokuunga mkono ili kumdhalilisha Mbowe. Kitu ambacho...
  19. Lengai Ole Sabaya, Makocha huwa wanabadilika

    Makocha wanatofautiana nataka Lengai ulifahamu hilo. kuna wakati wanatoa wachezaji na kupimzisha mchezaji kwa sababu ya mechi ya Fainali na kwa sababu zingine maalum. Timu imeshafika robo fainali . Ukumbuke hatua ya makundi ilikuwa ngumu sana maana ilikuwa na vigogo wote unaowajua .mfano pale...
  20. Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

    NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA. Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili. Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…