Japo watu wengi walikuwa wanafahamu kuwa lengo la Urusi tangu mwanzo ilikuwa ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi Walikuwa wanafanya kama siri fulani. Kwa sasa wanasema kwa wazi lengo hilo, kama mkuu wa majeshi ya marekani alivyokiri hilo lengo. Ila hawakuwa tayari kuingia wao binafsi...
Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali ili haki yao ya kuonekana na kutendewa kwa usawa izingatiwe na kutekelezwa.
Ukosefu wa usawa wa...
Habari zenu wadau wa JF siasa.
Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025
Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya...
Afisa mkuu wa ulinzi wa Urusi anasema "hatua ya kwanza ya mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yamekamilika" Juhudi sasa zinaweza kulenga "ukombozi wa Donbass,"
source RT News
Russia claims ‘first stage’ of Ukraine offensive complete
Efforts can now be focused on...
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki.
Biashara hii ni...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa.
Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu Bara:
“Simba hatukukubaliana na mkataba huo, tulipambana lakini wenzetu hawakuona kama tuko sahihi...
Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi?
Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi.
Mwaka huu ulivyo anza...
Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa.
Baada ya kifo kitu kingine...
Paracetamol: Kwa nini dawa inayotumika kupunguza maumivu inaweza kutumika kuua nyoka?
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Serikali ya Marekani inatumia paracetamol, ambayo tunaitumia kupunguza homa kuua spishi ya 'Brown Tree Snake' katika kisiwa cha Guam.
Nchi hiyo imetumia miligramu 80 ya...
Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).
Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia...
Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
Salaam sana wakuu,
Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku tukijipanga kwa ajili ya mwaka mpya 2022. Binafsi nina lengo la kufanya savings ifike milioni 20 ifikapo...
Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo.
Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo:
matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF.
Ushahidi wa Marekani na washirika...
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi...
Tathmini ya msingi inaonesha watu wengi kufurahishwa na hukumu ile bila kujali nini kitamtokea sasa baada ya hapa.
Waliokuwa wapambe wake katika uovu, mitaani na mitandaoni wote wamesambaratika. Hivi Wamepotelea mashimoni kama mapanya wakichungulia kama vile hawakuwahi kuwapo wala kusema jambo...
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.
Pili niende kwenye mada moja kwa moja
Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani flani ,nk, ila leo nimejikita KWa Hawa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA (MCT).
Binafsi Kama baba na mlezi...
Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie
Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa
Na kwanini huwa tunachumbia?
Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.