leseni ya kumiliki paka

  1. Suley2019

    Wamiliki wa paka Nairobi kuanza kulipa ada ya leseni ya Ksh200

    Wamiliki wa paka jijini Nairobi sasa watalazimika kulipa Sh200 kama ada ya leseni kwa serikali ya kaunti. Hii ni miongoni mwa mapendekezo yaliyomo kwenye Muswada wa Udhibiti na Ustawi wa Wanyama wa Kaunti ya Jiji la Nairobi wa mwaka 2024. Muswada huu unashughulikia nyanja mbalimbali za...
Back
Top Bottom