Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu nchini (TTPC) imeanza maandalizi ya kuratibu na kutoa leseni rasmi za ufundishaji kwa walimu nchini.
Amesema hatua hiyo inalenga kuongeza thamani, heshima na nidhamu katika taaluma ya...