lets gather here

  1. B

    Ilala Boma Shule ya msingi 1987 tukutane hapa

    Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM. Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo. Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
Back
Top Bottom