level seat

  1. Analogia Malenga

    #COVID19 Dar: Daladala zatakiwa kuwa Level Seat, kutakuwa na ziara za kustukiza masokoni

    RC MAKALLA: UVAAJI BARAKOA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NI LAZIMA - Awataka LATRA kusimamia Level seat. - Aelekeza Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya kusimamia Utekelezaji wa Mwongozo wa Wizara ya Afya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari...
  2. Chomo

    Wanaofikiria kuhusu uwepo wa Level Seat katika daladala sio watumiaji wa usafiri huu

    Wakuu, Kumekuwa na tetesi na minong'ono miingi siku za karibuni kuhusu utumiaji wa usafiri wa umma (daladala), abiria wapande level seat lakini nimesikia huko Dodoma agizo limeshatoka tayari. Turudi nyuma kidogo,ambapo mwaka jana tukiwa katika hali kama hiyo, ikumbukwe shule zilikua...
  3. fasiliteta

    #COVID19 Kujikinga na Maambukizi zaidi: Serikali walazimishe 'level seat'

    Nafikiri ni muda sahihi sasa wa Serikali kulazimisha usafiri wa umma kubeba level seat Ili si tu kukabiliana na COVID bali hata magonjwa mengine ikiwamo TB,Magonjwa yote ya kuambukiza kuanzia UTI,CHOLERA n k. Watu wanahemeana sana mpaka wanapakana majasho na kuhemeana usoni kabisa. Serikali...
  4. Replica

    #COVID19 Dr. Anthony Diallo: Corona bado ipo, apendekeza 'Level seat' kwenye daladala na Mask

    Mwandishi: Kwanini unanisalimia hivi(Alimpa mkono, Diallo akampa gonga), wakati fulani tulipita hapa tukawa tunaamini tumeshatoka kwenye Covid. Awamu iliyopita tulikuwa tunasali na kumuomba Mungu, Covid haipo. Bado una wasiwasi na Covid Dr. Diallo: Covid ipo, jana nilimsikia mkuu wa mkoa...
Back
Top Bottom