Mwandishi: Kwanini unanisalimia hivi(Alimpa mkono, Diallo akampa gonga), wakati fulani tulipita hapa tukawa tunaamini tumeshatoka kwenye Covid. Awamu iliyopita tulikuwa tunasali na kumuomba Mungu, Covid haipo. Bado una wasiwasi na Covid
Dr. Diallo: Covid ipo, jana nilimsikia mkuu wa mkoa...