liganga na mchuchuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga Reli ya Kisasa ya Km 1000 kuunganisha Mtwara–Mbamba Bay kwa Usafirishaji wa Madini ya Liganga na Mchuchuma

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujengwa kwa reli ya kisasa yenye urefu wa takribani kilomita 1,000 itakayoanzia Mtwara hadi Mbamba Bay, mkoani Ruvuma. Akihutubia mkutano wa kampeni leo Septemba 22, 2025 mjini Songea, Samia amesema reli...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Nimependa wazo la kijiji cha Mundindi kununua hati fungani, wameweza ndoto iliyowashinda Simba SC

    Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
Back
Top Bottom