ligi kuu bara

The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Yanga inatosha!

    Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam tukikomaa na timu zingine ambazo zina uwezo wa wastani, ikiwemo Makolowidi. Kufungwa mfululizo kwa...
  2. Singida Blacks Stars yahamishia Zanzibar mechi yake dhidi ya Yanga

    Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu. Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya...
  3. Kwenye kushambulia Half-Space tumetoka pair ya Kibu/Onana tupo na Kibu/Mutale

    Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli... Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
  4. Laana za kocha Mgunda zimeanza kututafuna.Tajiri mwenzangu Mo tafadhali omba radhi

    Huyu kocha Juma Mgunda ameitendea mengi timu yetu lakini huwa tunamtreat vibaya mno. Juzikati tumemfukuza kazi, na leo ameanza makeke. Tukienda mkwakwani tunakula 2-0. Hongera sana Camara, kipa la NBCPL. Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
  5. Mtego wa Yanga, Sasa umeanza kunasa

    Watu walianza kushangilia ushindi wa goli nyingi Kwa kucheza na wagonjwa yaani team ya Fountain gate na Tabora United ambao wachezaji wao walikuwa hawajakamilisha vibali mkawapiga mkataba mpaka BBC, Yanga tukawachek tukaaema mtanasa tu Sisi taratibu tukaanzia Away mechi mbili za mwanzo...
  6. Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

    Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo...
  7. FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC πŸ“† 03.10.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  8. C

    Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

    Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo. Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick Bahasha fc.
  9. Naiona dalili ya Pamba kupanga matokeo dhidi ya Yanga kwa kumuachia yanga ashinde magoli mengi

    Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga. "KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO...
  10. Sioni wa kuitoa Simba nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC

    Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.. Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team. Simba...
  11. L

    Mambo 12 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Aman

    1. Hivi kocha wetu kweli haoni tofauti kati ya Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu? Hata asiyejua mpira anaweza kuwatofautisha wachezaji hao 2. Hivi kocha unawezaje kumtoa Kibbu ambaye ametolewa akiwa bado Ana energy ya kutosha na madefender wa Azam bado walikuwa wanamhofia? 3. Shomari Kapombe...
  12. Dah! Ila Gamond wa msimu huu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki

    Dah! Huyu mwamba huu msimu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki. Yahani akikutana na timu kubwa na inayojua ball anaibamiza bao za kutosha, ila akiutana na wachovu pale ndio unajua mtu anakula nyingi siku hiyo ndio anapata ushindi mwembamba. Rejea hizi games Yanga 1 Vs Ts galaxy 0...
  13. Yanga SC ni mbovu

    Hapo vip! Kwa mchezo na matokeo ya leo ya Yanga dhidi ya Ken Gold ni dhahiri ya kwamba yanga ni timu mbovu sana. Na leo imedhihirisha hizo timu Yanga alizocheza nazo za club bingwa CBE SA na Vital O ni matimu mabovu kuliko hata Keny Gold. Ken Gold amezulumiwa gold la wazi ingrkuwa draw. Club...
  14. Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

    Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo ) Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
  15. C

    Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

    Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka. Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe. Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao. Hayo ya...
  16. Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. β€œTumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  17. Azam yabanwa mbavu na PAMBA JIJI yatoa sare chamanzi

    Teh! Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card. Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy Pia Pamba jiji ipo vizuri mkabisha haya sasa Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu...
  18. Full Time | KMC FC 1 - 1 | Coastal Union| Ligi Kuu NBC| KMC Complex|29 Agosti, 2024

    KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1. Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union...
  19. Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

    Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu. Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje. Hapa chini...
  20. Kwa sasa sijaona klabu yoyote ile ya kuifunga Yanga SC ukandaa huu wa Afrika Mashariki na Kati

    Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya. Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…