The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.
Kama kawaida kama dawa.
Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo.
Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi.
Kuna muunganiko nyuma na kati kati.
Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga...
Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima.
Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi...
1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia
2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma...
Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
Ikitokea Club ya Simba SC kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.
Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0
Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii taarifa mwezi ujao]
Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka Ligi daraja la kwanza ( kwasasa ni Ligi Kuu) kwenda daraja la pili.
Tuanzie mwaka 1987
Ambapo...
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga.
Huku ni kupenda timu yako bila kupenda mpira wenyewe. Simba, Azam, KMC, Mashujaa, zimefungwa na Yanga ingawa hazina udhamini wa GSM...
Agosti 16, 2024
Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni
Agosti 17, 2024
Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni
Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku
Agosti 18, 2024
Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana
Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana.
Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina...
Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M,
ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC.
CHAMBUA
Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga.
VAR ilipaswa...
Siku ya jana tulishuhudia.
Siku maalum ya kuonesha vifaa vipya na vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira. Kutoka Azam tv
sambamba na hilo tukathibitishiwa rasmi matumizi ya VAR kwenye ligi yetu kuanzia msimu ujao wa 2024/2025
hakika hili ni jambo ambalo kwa upande wangu litaenda kuikuza...
Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23, 2024 ambapo aliwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2024/25...
Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni.
Kikosi cha Mtibwa Sugar
Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo
Mchezo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa
Mchezo umeanza
3' Umeanza kwa kasi ndogo, Yanga...
Full Time, Yanga inashinda 1-0.
Fei Toto anaipatia Yanga goli
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi
87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango
85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona
80'...
✅ 1-0 v Simba
✅ 1-0 v Ihefu
✅ 2-1 v Dodoma Jiji
✅ 4-3 v Mtibwa Sugar
✅ 1-0 v Ruvu Shooting
✅ 1-0 v Namungo
✅ 3-2 v Coastal
Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.