ligi ya mabingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    CAF wamteua Ahmed Arajiga kuchezesha robo fainali ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) kati ya Pyramids FC na FC FAR

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na FC FAR ya Morocco. Soma: Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025...
  2. Greatest Of All Time

    Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

    Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni: Simba SC...
  3. hamis77

    Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

    Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge Bingwa aliibuka dogo SISCO Mashindano yalianza na hatua za makundi Katika ligi ya kufungua mwaka wa 2025 waratibu wamewathibitisha washiriki 48 watakaowania kuondoka na...
  4. M

    Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa kwa kuichabanga Copo mabao 5 0

    Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie. Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal. Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za...
  5. M

    kihistoria Yanga haijawai kupata zaidi ya point 8 kwenye makundi ya ligi ya mabingwa. Inapaswa ibadilike misimu ujao

    Yanga inapaswa tubadilike Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache. Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage. Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8. Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika...
  6. N

    Utabiri,Yanga anakwenda kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa mwaka huu

    Kwa wasiojua mpira wanadhani wananchi wameshatoka kutokana na matokeo ya jana ya mwarabu na mazembe, Sasa iko hivi matokeo ya kesho,Al hilal 1 Yanga 1,hivyo kundi litasomeka Al hilal points 11,Mc alger points 8,Yanga points 5 Mazembe points 2,mechi ya mwisho kwa mkapa Yanga 4 Mc Alger 0,Yanga...
  7. Waufukweni

    CAF yakataa ombi la MC Alger Kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga kwenda Douéra

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra. Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962. Soma, Pia: Aucho, Mzize na Boka...
  8. Waufukweni

    Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  9. M

    Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

    Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa! Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
  10. M

    Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

    Habari wadau Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league.. Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania. Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
  11. ZVI ZAMIR

    Mfumo mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya nani ameuelewa?

    Habari ya asubuhi wakuu naomba kujuzwa juu ya huu mfumo mpya unatumika UEFA champions league. Maana nimejaribu kufuatilia naona kama kuna utaratibu mpya umetambulishwa sijui kama walianza msimu ulioisha au ndo wameanza msimu huu. Kwa yeyote anaeulewa tafadhali na atujuze. Ahsanteni
  12. Mkalukungone mwamba

    Nabi: Naiona Yanga ikicheza Nusu Fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu wa 2024\2025

    Kocha wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi alikuwa hapa nchini kwa siku mbili kisha kufanya vikao na mabosi wa Yanga aliowahi kufanya nao kazi kwa mafanikio lakini amewaambia mabosi hao kuwa anaamini Yanga itacheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Nabi amefanya kikao na Mfadhili...
  13. BabuKijiko

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | 18.08.2024

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0 - 5 Mohanad Lasheen 88' 0 - 6 Zalaka M.
  14. M

    Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

    Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe. Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho. Timu ya JKU imeanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani dhidi ya...
  15. ngara23

    Azam anapita njia ngumu CAFCL, atatoka hatua ya awali

    Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa. Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni...
  16. G

    Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  17. III II II II II

    Simba atabeba kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika 2023/2024

    Habari zenu wadau! Japo sijawahi kumwambia yeyote, ukweli ni kwamba mara kadhaa nimekuwa nikiota ndoto kuhusu mambo mbali mbali ambayo mengi hutimia kama nilivyotabiri kwa sababu ukiachana na kupewa maono nimekuwa na kipaji asilia cha kutafsiri ndoto. Siwazi sana kuhusu mchezo wa mpira wa...
  18. Joseverest

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    https://www.youtube.com/watch?v=Wi1gdJiCIt4 The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024. The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo...
  19. Greatest Of All Time

    Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

    Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
  20. ESCORT 1

    Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
Back
Top Bottom