Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
USMA
FUTURE
SUPERSPORT
Al HILAL
Group B...
afrika
caf
gumu
kuchagua
kumbukumbu
kundi
kuweka
ligiligiyamabingwamabingwamabingwa afrika
makundi
mapema
sawa
simba
simba sc
upande
vizuri
yanga
yanga sc
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana.
Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.
1. Al Ahly SC 🇪🇬
2. Wydad AC 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦
5. Simba SC🇹🇿
6. Petro 🇦🇴
7. Tp Mazembe🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬
9. CR Belouizdad 🇩🇿
10. Pyramid FC 🇪🇬
Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa.
Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa?
UEFA Champions League
5 Karim Benzema (Real Madrid)
5 Dani Carvajal (Real Madrid)
5 Luka Modrić (Real Madrid)
5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid)
4 Gareth Bale (Real Madrid)
4 Casemiro (Real Madrid)
4 Andrés Iniesta...
Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua;
Ligi ya Mabingwa Afrika
Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4)
Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa
Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• Wydad Club Athletic 🇲🇦
Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
• A = USM Alger...
Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Machi 18, 2023.
Timu inayoongoza katika rekodi hiyo ni TP Mazembe ambayo ilitoa kipigo cha...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa.
Droo hii itaanza saa 8:00 kwa masaa ya hapa nyumbani. Hivyo karibu jukwaani ujue nani kapangwa na nani?
Droo itakuwa live...
Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly.
Al Ahly ambao walikuwa wakitetea taji hilo, licha ya kushambulia muda mwingi katika mchezo huo wa Mei...
Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo
Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano...
UPDATES
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.
03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers
05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
Kwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro 2020, Jorge Luiz Frello Filho almaarufu Jorginho ambaye huko Italia anajulikana kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.