José Mourinho ameondoka katika nafasi yake ya ukocha wa klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki, baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Jumano, Agosti 27, 2025 Fenerbahçe walifungwa jumla ya 1-0 na Benfica katika mchuano wa mchujo wa Ligi ya Mabingwa, na...