Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema ana mpango wa kuifuta Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kutokana na changamoto ya udanganyifu wa umri wa wachezaji.
Akizungumza katika kipindi cha Sports Xtra cha Clouds FM, Karia alisema badala yake anapendekeza kuanzishwa kwa ligi ya akiba...