ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tuzikumbuke timu zilizowahi kutamba zamani katika ligi kuu na sasa zimesahaulika

    Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu. Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua. Mimi naanza na Vijana Ilala a.k.a Wanakabakayeka ilikuwa na maskani yake Ilala sijui kama bado ipo au ilishakufa, endelea…
  2. SAYVILLE

    Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  3. PakiJinja

    Mechi ya pili tangu kuanza kwa ligi, lakini Mashabiki wa Yanga wanadhani zimebaki mechi mbili kumaliza

    Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana. Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
  4. kavulata

    TFF ijivunie kuwa na makocha kama Gamondi na Robertihno kwenye ligi yake.

    Gamondi na Robertihno ni makocha wa kiwango kikubwa sana kuwepo kwenye ligi ya Tanzania. TFF lazima ione namna nzuri ya kuzipongeza Yanga na Simba kwa kuthubutu kuleta makocha ya viwango hivi, pia TFF na wadau wengine wa mpira waone ni kwa namna ipi wanaweza kuwatumia hawa makocha kwa manufaa ya...
  5. SAYVILLE

    Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

    Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
  6. SAYVILLE

    Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

    Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23. Kuna watu baada ya game...
  7. The Burning Spear

    Tanzania Tuna ligi nzuri ila haina Marefa

    Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi? Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu? Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees...
  8. William Mshumbusi

    Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  9. kavulata

    Zawadi za mshindi wa ligi ziangaliwe upya

    Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
  10. Greatest Of All Time

    Ligi ya Saudia sasa kurushwa ndani ya Azam TV

    Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi hiyo mubashara. Mwanasoka utaendelea kuwafatilia wachezaji wako pendwa waliopo Uarabuni kupita Azam...
  11. GENTAMYCINE

    Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  12. Majok majok

    Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
  13. King Jody

    Simba wasipochukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu patachimbika

    Linapokuja swala la ushabiki hapa Bongo, ni wazi kuna timu mbili zenye ushawishi na mashabiki wengi. Hapa nazungumzia Simba na Yanga. Kuhusu mashabiki wa timu hizi mbili kuna utofauti kama ifuatavyo, -Yanga ina mashabiki waelewa hata kama timu yao ikifanya vibaya bado wataendelea kui-support...
  14. Pang Fung Mi

    Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  15. I

    SoC03 Ligi yetu inapanda viwango, ipi nafasi ya timu yetu ya taifa?

    Mpira wa miguu umechuka nafasi kubwa katika kupanua wigo wa vijana wengi kupata ajira ukihusisha vijana wa kike na vijana wa kiume napa nchini ambapo wengine wamepata nafasi ya kucheza soka nje ya nchi na wengine wamepata nafasi ya kucheza soka ndani ya nchi. mfano oppa Clement. chanzo (...
  16. S

    Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

    Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24. 1. Al Ahly SC 🇪🇬 2. Wydad AC 🇲🇦 3. Esperance 🇹🇳 4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 5. Simba SC🇹🇿 6. Petro 🇦🇴 7. Tp Mazembe🇨🇩 8. Enyimba 🇳🇬 9. CR Belouizdad 🇩🇿 10. Pyramid FC 🇪🇬
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

    Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa. Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
  18. Greatest Of All Time

    Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  19. Kommando muuza madafu

    LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  20. Teko Modise

    Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

    Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika. My take: Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
Back
Top Bottom