ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au viongozi wa hilo Jiji hawapaswi kuongoza hilo Jiji. Mpira unapendwa duniani kote na unatoa Burudani na...
  2. Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  3. Rekodi na Takwimu za mwisho za Ligi ya Mabingwa UEFA/EUROPA

    Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa? UEFA Champions League 5 Karim Benzema (Real Madrid) 5 Dani Carvajal (Real Madrid) 5 Luka Modrić (Real Madrid) 5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid) 4 Gareth Bale (Real Madrid) 4 Casemiro (Real Madrid) 4 Andrés Iniesta...
  4. Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

    Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho. Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
  5. Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  6. Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora. Ahsanteni.
  7. Kombe jipya la NBC Premier League hili hapa dondosha maoni yako

    Hili kombe Zuri tofauti na lile la mwaka jana
  8. J

    Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  9. Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  10. Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  11. U

    Simba ana ubingwa upi mpaka kushiriki CAFCL?

    Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu. Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa...
  12. Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

    PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0). Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
  13. Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

    1. Stephane Aziz Ki Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso. Date of birth: Mar 6, 1996 Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
  14. Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  15. Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  16. D

    Yanga akishinda leo Anabeba Ubingwa ligi kuu 2022/23!

    Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
  17. S

    Diarra kipa Bora ligi kuu NBC 2022-2023

    🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤
  18. Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  19. S

    Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  20. Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…