ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

    Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city. Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
  2. B

    Ligi yetu bado sio shindani kwasababu utaona Singida kesho watakavyoiachia Yanga

    Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu. Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo...
  3. Yanga isipojiamini kupitiliza itatoboa Fainali!! Gallants wapo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa Kusini lakini si wa kubezwa

    Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali, Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya...
  4. Tulia Ackson jimbo lako linapoteza timu mbili Ligi Kuu, unazisaidiaje?

    Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja. Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako. Hizi timu...
  5. Yanga tusichukulie poa ubingwa wa Ligi, Sioni mnyama akiachia point yoyote kwa mechi 4 zilizobaki, hakuna namna kushinda mechi 3 zijazo

    Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli tusilete masikhara hata michezo ya nje ifanyike poa tu, kinachokumbukwa ni michezo ya nje au ubingwa ...
  6. Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

    Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho) wakati wenzao wa North London game ni chache...
  7. Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

    Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo 03/07/2021: Simba 0-1 Yanga 11/12/2021...
  8. Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  9. Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  10. Jezi 15 za 'Basketball' zinazouzwa zaidi Ligi ya NBA, LeBron James anaongoza

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa. Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers imeongoza kwa mauzo ikifuatiwa na Jezi namba 30 ya Golden State Warriors inayovaliwa na Stephen...
  11. Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  12. Malipo ya waamuzi katika ligi kubwa za ulaya

    Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi. Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa...
  13. J

    Granit Xhaka ndio kuigharimu Arsenal mchezo wa leo, na ubingwa wa ligi

    Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja Kitu ambacho kimebadili mchezo wa leo wakati Arsenal ikiongoza 2-0 ni kitendo cha mchezaji wao Granit Xhaka kutaka kupigana...
  14. Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  15. D

    Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  16. Uwezekano wa Barcelona kufungiwa kushiriki Kombe la Mabigwa Ulaya (UEFA)

    Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania. Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
  17. Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

    Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo. Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023. Chanzo: East Africa TV
  18. Hatuweze kuwa na ligi binafsi nje ya TFF?

    Huyu kidao bifu zake binafsi na roho mbaya imezidi
  19. Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
  20. S

    Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…